Search results

  1. E

    CCM wametoa ratiba ya vikao kwa siku ya leo tarehe 10 Julai, 2015

    Mkuu akuban kisa kuombea amani taifa linaloelekea kumeguka?
  2. E

    Ni chakula gani ulikuwa hukipendi ulipokuwa mtoto?

    Mimi ni maharagwe na karanga. Nakumbuka siku ya kwanza mm kula maharage ni siku nilikuwa nasafiri na baba... basi kaniagizia chai maandazi na maharage...ile nimekula vijiko viwili vya maharage nikapata kichefu chefu nikatapika balaa.... nikatapikia vyakula vya wateja wengine pale mezani...
  3. E

    Supermarket inayomilikiwa na Wachina Dar yabagua Watanzania weusi

    Supermarket inaitwa 'Huarang' ipo Mikocheni, inamilikiwa na Mchina.Watanzania weusi hawaruhusiwi kufanya shopping hapo. Ipo Mikocheni, mtaa wa ursino, kitalu namba 56. kajionee mwenyewe. Chanzo: Raia mwema.
  4. E

    Watoto wa kishua

    :A S-baby:Wana wakuu. Kwa uzoefu mdogo nlionao nimegundua kuna tofauti kubwa sana wa kimapenzi kati ya mademu wa kishua na wale wa kajamba nani,demu wa kishua akikupenda kakupenda kweli. Ila wale wahali duni akikupenda jiulize mara mbili mbili kakupendea nini, wengi wao sio mapenzi ni...
  5. E

    Natafuta girlfriend

    Akina dada humu ndani hamjambo,Mimi ndio kwanza najiunga na hili jamvi la Jamii forums. Natafuta girlfriand anipe kampani mwenye sifa zifuatazo: 1.Mrefu wastani, mimi urefu wangu 173cm. 2.Asiwe mnene. 3.Elimu at least Chuo. 4.Asiwe too much religious. 5.Awe anatumia pombe, ila asiwe mlevi...
Back
Top Bottom