Hao watu wa Sumbawanga huwa wana mambo yao ya ajabu sana. Ukikata leseni ya biashara ya mazao katika Mkoa wa Mbeya, ukienda kwao wanakwambia hawaitambui. Mtu unajiuliza Mbeya ipo Nchi gani na Rukwa ipo Nchi gani?
Je, Ada za leseni huwa zinaingia kwenye mfuko wa mikoa husika ama ni makusanyo...
Alipewa kesi ya Ugaidi sababu vyombo vya Dola na Mahakama vinafanya kazi kwa maelekezo ya Rais kama ulivyosema. Hata kuachiwa kwake kumetokana na sababu hizo hizo.
Swali muhimu sana ni wewe kujiuliza, lini Taifa hili lilifanyiwa ugaidi na Mbowe?
Inawezekana hapo ulipo wewe ni mmojawapo wa...
Inawezekana GSM alilazimishwa kukiachia hicho kiwanja katika style ya Sabaya. Inawezekana wakati ule hakuwa na ujanja. Ikambidi akiachie.
Makonda anasema kiwanja hicho aliuziwa na GSM mwaka 2013. Hapo ndipo alipojichanganya. Mwaka 2013 Makonda alikuwa wapi? Alipata wapi zaidi ya milioni 100 za...
Taifa litakuja kuzalisha Vijana wenye kiu ya visasi. Wakati huo ukifika, hakuna bajeti itatosheleza kuwazuia.
Hata hivyo, wakati mwingine Mwenyezi Mungu huacha haya yatokee ili kizazi chake kiondokane na maadui. Hakuna jambo linalodumu milele, ipo siku watesi watakuwa historia.
Wafugaji gani wameingilia hifadhi ya Ngorongoro, Wameingilia wakitokea wapi?
Nitajie Mkoa ambao una wakazi ambao hawakuingilia hifadhi. Huko mijini mnajenga hadi kwenye fukwe za bahari, mito na maziwa nani amewazuieni?
Hata jiji la Dar kabla lilikuwa ni poli la minazi na wanyama, lkn watu ni...
Njia pekee ya kuisafisha Serikali na wakubwa wake kwenye hii kesi ya Mbowe ni kufanikisha jitihada za Mbowe kuomba msamaha.. Nje ya hapo, ikitokea kesi ikafika mwisho, Mbowe atakuwa maarufu zaidi ya Serikali. Na hakuna anaetaka hilo litokee, lkn pia hawana ushahidi wa kumtia hatiani. Hivyo...
Jeshi la Polisi wamefanya jambo wasilolijua. Hii kesi itaacha aibu kubwa sana kwenye jeshi la Polisi Tanzania, lkn na Nchi kwa ujumla. Kinachonisikitisha ni IGP kuiaminisha Dunia kwamba wanao ushahidi madhubuti kwamba Mbowe ni Gaidi.
Tangazo lake likachukuliwa pia na Mheshimiwa Rais nae bila...
Si ajabu nawe unajiona una akili kuliko Lissu. Kama huelewi kilichoandika bora ukae kimya.
Tanganyika ilipata Uhuru wake Mwaka 1961. Katiba ya kwanza ya Tanganyika huru iliandikwa Mwaka 1962. Hiyo ndio msingi wa hoja ya Lissu. Katiba hiyo ilitoa mamlaka makubwa sana kwa Rais.
Na hata...
Wajinga wengi hawatakuelewa. Wanamtazama Ndugai kama MTU, wenye hekima wanamtazama Ndugai kama Bunge. Ni aibu sana kwa Serikali kujivika ukuu kuzidi Bunge na Mahakama. Mara nyingi Serikali za aina hiyo ni Serikali dharimu.
Hakuna tena Bunge la Wananchi. Serikali inayokataa mawazo na maoni ya...
Kufuatia kauli za Viongozi mbalimbali kumshambulia hadharani Spika Job Ndugai kufuatia maoni yake dhidi ya deni la Taifa na utaratibu wa mikopo, kumeanza kusikika wito wa kutaka Job Ndugai ajiuzulu ama apigiwe Kura ya kutokuwa na imani nae.
Hii ni kawaida katika masuala ya siasa, lkn wanaotoa...
Chama kina Vijana wajinga sana wamejazana mitandaoni bila hoja za maana. Prees meeting imeitishwa na CHADEMA.. Hakuna anaejua wanataka kusema nini, lkn mnapishana humu kujibu hoja kutoka gizani. Mnaisaidia CHADEMA kutangaza jambo lao kirahisi huku mkijidanganya mnakisaidia Chama cha Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.