Search results

  1. N

    hellow jf

    mimi nimebahatika kupata Tsh millioni 5 na nimeplan kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kupokea pesa kwa njia ya mitandao ya simu tigo pesa,m.pesa, na airtel money,je ni changamoto zipi ambazo nitaweza kukutana nazo na njia zipi nitumie ili kuzikabili changamoto hizo?
  2. N

    habari zenu wadau

    najivunia sana kuwa JF maana ndio upo huku asanteni sana wadau mnaozidi kuelimisha jamii kupitia JF
  3. N

    vallentine day

    kwa karne hii tuliyo nayo je kuna umuhimu wa kuendelea kupeana maua siku ya vallentine mana imekuwa chanzo ugomvi kwa baadhi ya wapendanao
Back
Top Bottom