Mimi na familia yangu tumepiga kura leo mapema sana, hali ilikuwa ni nzuri tu pale kituoni-sinza. vijana kwa wazee wamejitokeza kwa wingi sana japo ni wazi vijana wamejitokeza kwa wingi zaidi na on my way back home nilisimamishwa na kijana mmoja akitaka ajue kama nimeshapiga kura, kwakweli...
Imenibidi ni-sign up kwenye The economic immediately. Craps like this should not be left unreciprocated. Hata ivyo kuna vijana wakakamavu wamesha-comment in there, lakini naamini I also need to play my part.
This is the funny part of humankind.
There is always a hot debate between the natives and None (allegedly) worldwide. There is a fairytale that a modern society embodying ideas of friendliness, fairness, values, respect, tolerance and equity has failed to prove immunity to inter-cultural myths...
Thanks a lot Rutashubanyuma:thumb:
Mimi binafsi nimepata tabu sana hasa kuhusu hili swala la UDINI kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Kwa muda sasa, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kampeni za uchaguzi kupitia vyombo tofauti vya habari, sijaweza kuona/kusikia mgombea mwingine yeyote...
Naamini hiyo ni mikakati hasi zaidi ya uchaguzi ambayo inahusisha mambo yafuatayo:
1. Mgombea kutoa matamko ya kiserikali yanayotekelezeka baada ya uchaguzi.
2. Mgombea kuzungukwa na maofisa wa serikali wasio wanasiasa.
3. Mgombea kusomewa risala hewa za mahitaji muhimu ya wananchi na kuombwa...
Mmh!! mchango mzuri, umejaribu kuelezea hali halisi, lakini ni hali halisi kwa wale wote waliozoea "kawaida", nadhani ni wakati muafaka tukaanza kuzoea hali halisi yaani "mabadiliko".
kama utakumbuka wakati wa uchaguzi wa marekani 2008 (nasikitika sina mfano mwingine rahisi), ni sehemu ndogo...
Though reluctantly, I think I need to comment again Daily News!!!!
Jamani this is unbearable attitude by Gov media, shameless and unspoken one. I wonder what it takes to bring necessary corrective measures (i mean in the short run). I believe the Gov organs need to act impartially especially...
Kwa mtazamo wangu kuna mambo matatu hapa
1.Zitto ni mwanasiasa aliyekomaa tunaamini anafamu anachokifanya.
2.Uhuru ni jarida la chama tawala na linaolongozwa kwa sera za chama tawala na ni moja ya majarida yenye wahariri makini na wasomi (wanaotumika kwa maslahi ya chama tawala) tulikubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.