Search results

  1. Jamal

    Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Woooh, pole sana dada ila ningekushauli usilitilie sana maanani, najua ni ngumu ila jitahidi. Mshauli mmeo muhame hapo nyumbani mara moja ila jitahid uwe na kampani usiwe unajitenga na marafiki zako koz unaweza kuwa unayawazia sana hayo mambo yakakutoa nje ya maisha yako ya kawaida.
  2. Jamal

    UTAFITI: Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile

    DUUU hivi mwanaume unaanzaje kumuomba mwanamke nyuma? kilasiku najiuliza kwa wale wanaofanya mchezo huo sijui ujasiri huo wanautoa wapi.
  3. Jamal

    Mkakati wa kummaliza mh. Lema wagundulika

    Mi nadhan anepinga juu ya umaarufu wa lema hana Ajualo hata moja
  4. Jamal

    CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

    Ndoto hiyo inhgetimia inge mkomboa kila mtanzania kifikra na kumpa mwanga mpya mtanzania Binafsi naipenda chadema zaid ya kawaid kiasi cha kufikiri zaid namna ya Kukichangia chamachetu.
  5. Jamal

    Kwa nini JK hushindwa kuzumgumzia ufisadi hadharani?

    Kwa maono yangu ni kutokana na uhusika wake katika maswala haya ya ufisadi, ni vigumu kumsema mwenzio et anamaliza nyama wakati we unakomba mpaka bakuli. mkulu wetu hajiamini na hataweza kujiamini kulisemea swala la rushwa kwani wahusika wote wamemzunguka naye pia akiwa miongoni mwao. miaka 5 ni...
  6. Jamal

    CHADEMA kutoa tamko kufuatia kikao cha dharura cha kamati kuu leo

    All the best CDM macho yetu yako kwenu as viongozi wetu.
  7. Jamal

    Mwakyembe na Sitta

    Kuna kampuni lulani ya kimarekani wanataka kuanzisha mradi muheza tanga ila wanauliza in network gani wanaweza kuchukua? waliuliza zantel ila inaonekana zantel hawana coverage maeneo hayo, P lease naombeni mnijuze
  8. Jamal

    Jamani Hiki kitoto vipi, Ndiyo vazi gani hili?

    nakumbuka katoto hako kalishawahi kuomba radhi kwamba kalipotoka sasa mbona kanaendelea kuvaa vivazi ambavyo haviridhishi? hataivo nadhani kameshakua nakameshachagua aina ya maisha katakayoishi
  9. Jamal

    Elections 2010 Mbunge wa Arusha apigwa hadi kuzirai na jeshi la polisi

    Jamani mi nashangazwa na uoga wa CCM, urais wamejibambika tena kwa ngumi na mateke sehem nyingine ubunge pia wamelazimisha, umea pia? hawaoni aibu meeeeen we are tired of it.
  10. Jamal

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    DR.SLAA anafaa, mabibi na mabwana habari zenu, sababu za mimi kumchagua slaa ni msimamo wake alionao tangu mwanzo bila ya uoga et kiongizi furani ata mfanya nini, amekuwa na hoja zenye maslahi kwa taifa tangu mwanzo, tumeona jinsi alivyo pambana bungeni kwa maswala ya ufisadi ambapo alichekwa na...
Back
Top Bottom