Huu ni mkondo kama ulivuo mkondo WA WAWATA... WA kila mwanamke mkatoliki ni wawata. Karismatiki NI mkondo WA karama ... charisma... Kila mbatizwa lazima awe na hizi karama za Roho Mtakatifu. Huwezi kuwa Moyo WA Yesu au UWAKA au kwaya yoyote kama huna hizi karama.
Soma hapa utaelewa zaidi...
Wacha kuhukumu. Mungu hapendi wanaohukumu wala watukanaji. Haimbariki Mungu. Ni vizuri kuelimishana na kama mtu haelewi usihukumu endelea kuomba Roho WA Mungu ndiye mwalimu pekee na atafanya kazi Tu Kwa wakati wake kama Wewe ulivyofikiwa.
Kama Wewe ni mkristo WA dhat ingia kwenye YouTube: Andika kongamano la Pentekoste Karismatiki Dodoma: kuanzia day 1 Hadi sasa naamini maswali mengi uliyo nayo yatajibiwa. Na kama Wewe ni mkatoliki utaeleweshwa pia kuhusu sinodi ..
Tuzidi kumuomba Mungu kazi yake aliyoijia duniani ikamilike. Kusemana huku hakuna tija.... Wewe unajua ... Mimi sijui... Tuelimishane ili tutembee pamoja.
Ubarikiwe sana Chokodari . Huu ndiyo uelewa WA Hali ya juu. Usio na ubaguzi
Ndugu NI lini mara ya mwisho ukiingia ndani ya Kanisa katoliki? Usitoke conclusion za juu juu. Roho Mtakatifu hakubagua alipowashukia familia ya Kornelio walikuwepo wenye kila tabia... Soma tena Year 31:29-30
Hapana hawa ni wakatoliki kamili na huu ni mkondo WA uamsho ndani ya Kanisa katoliki uliokubalika na Baba Mtakatifu na mkondo huu uko chini ya kila Askofu WA Jimbo.
Anza wewe kumlazimisha. Maridhiano ni muhumu, dunia imesikia. la kutokea likitokea hata wewe utasema neno la kulaumu. Jitokeze wewe uliye jasiri uwe wa kwanza.
Huu ni ukweli usiopingika; wakatae; wakubali; Tulianza na Mungu, Tutaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu; Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki CHADEMA.
Penda kufahamu, kujua na kuelewa mambo yanayotendeka duniani kwa usalama wako na uzao wako wa baadae. Usiwe wa kuona karibu tu. Jaribu kujua kesho yako, kesho ya familia yako, kesho ya jamii inayokuzunguka na hata kesho ya taifa lako ikoje na itakuwaje; kiafya, kielimu, kimaendeleo na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.