Search results

  1. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    Habari zenu wanajukwaa pendwa la MMU. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, napenda kusikia maoni yenu kutoka mitazamo tofauti tofauti ya kidini/imani na kidunia. Swali hili limekuja baada ya kuwa nchi ya kigeni ambayo wana tabia za kibaguzi hivo kuingiliana nao ni ngumu, sasa...
  2. fundichupi

    Saints, Sinners And Stag (18 )…

    lara 1 naona umepoa hivo wacha niokoteze story nisisimue kijiwe kama zamani. Ila mie ntaeka kizungu ili tuanze kuijua lugha ya biashara kwa ufasaha tusiwe tunatoa mimacho tukipenda wa mataifa mengine. **Story inaanza hiviii.. ‘Wait!!!!’ Segi yelled, trying to push him away, bucking her hips so...
  3. fundichupi

    Yajue madhara ya Kondom

    Wasalaam wana JF, mitikasi ya maisha zipo poa..!? Baada ya matumizi ya muda mrefu ya condom nimebadilisha uamuzi na kuamua kuachana nazo kabisa. Sababu zikiwa ni hizi zifuatazo: Zina fanya tendo kuwa halina msisimko na kuchelewesha ejaculation. Plastics na mafuta yenye kemikali...
  4. fundichupi

    Ijue tofauti ya mwanamke mjinga na mwerevu

    Mwanamke mjinga:- 1. Anamkomoa mumewe. 2. Analala mapema kabla ya mumewe. 3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe. 4. Mbishi, anahisi kuonewa mda wote. 5.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa 6. Mmekaa sebuleni anahadithia tu mafanikio ya familia za watu wakati yeye ndo kigezo cha...
  5. fundichupi

    NJIA 10 ZA MAFANIKIO KATIKA UJASIRIAMALI

    Habari za jioni wana JF, nimeona nishee nanyi mawazo haya ambayo wengi wetu hatuyapi mkazo na badae tunakwama na kuhaha. Kama wataka kufanikiwa katika uwekezaji wako na biashara hebu pitia haya machache ila yenye maana kubwa:- 1. uwezo wa kusimamia fedha. kama huwezi kusimamia fedha, huwezi...
  6. fundichupi

    Yamenifika kooni, nimeshindwa kulea kiburi chake

    Wasalaam, Nitaenda katika mada moja kwa moja. Nimekuwa katika mahusiano na single mum kwa takribani mwaka na miezi sasa ila baada ya kumaliza nae nusu mwaka nimejikuta napitia mabidiliko makubwa ya kihisia na fikra. Mama huyu nilimkuta na mtoto mdogo wa miezi saba na alikuwa katelekezwa akiwa...
  7. fundichupi

    Je, Unajua?

    Wasichana wengi kuanzia miaka 19-23 sio waaminifu kwa wapenzi wao kwasababu bado huamini kuwa na uwezo wa kupata wapenzi wengine. Wavulana between 19-23 ni waaminifu sana kwa wapenzi wao kutokana na kuwa hawana fedha na ajira pia ndio maana hutulia na mmoja. Wasichana between 24-35 ni...
  8. fundichupi

    Yupi bora mwenye bikra au asiye na bikra?

    Hivi karibuni nmejikuta ile dhana ya used ndio watamu ikiyeyuka kichwani.Used wana raha kwamba hamna kufundishana mahabati ila kero ni kwamba wanakupa jeraha kisaikolojia la what of her or his ex. Ataridhika akiwa nami au ndio anakaa analinganisha na experience yake!? Hii hufanya hata ndoa iwe...
  9. fundichupi

    Ninaishi na mwanamke mwenye mtoto wa nje ila hofu mwanamke atakuja kumrudia mwanaume huyo

    Nimekuwa na mwanamke ana mtoto wa mwanaume mwingine na jamaa alitelekeza mimba ya miezi minne bila hata notisi. Sasa nmekuwa na mtoto na mama ake kwa mda mrefu na hivi karibuni nmeanza kusikia maneno mengi sana ambayo yananiumiza. Baadhi ya maneno ni kama hivi unapata nn pale had ukajieka, kwa...
  10. fundichupi

    Njia panda

    Eti jamani tunachukulia vipi swala la kumtoa mimba mtu au kuiacha halafu kukimbia bila notice. Kipi kinaunafuu japo vyote ni vibaya.
Back
Top Bottom