Search results

  1. GFM

    Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

    Alimtosa bwana, nilikuwa mzito wa lugha na nyie mkikuta lazima muende external service yakanishinda nikaachia ngazi hahah
  2. GFM

    Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

    Aaa kuna dadaako alinipenda akanifundisha mengi ila sasa nimesahau Najaribu kumwomba AD anifundishe lakini naona bei ya tuition iko juu kweli......ngoja nitafute sponsor maana nimeanza kumiss manguree
  3. GFM

    majina ya wasichana

    hahah na wakishato kupiga mangure na busaa ahahah lazima akuchune ngozi hahah ....... Manyara nzima haiko nyuma kwenye hii idara nasikia ukiwa legelege kidogo tu inakula kwako hahah
  4. GFM

    Wanywaji wengi wanabahatika kupata watoto wa kike

    hiyo itakuwa sumu mkuu hahah
  5. GFM

    Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

    glad umecheka.............. mie ndo naishia hivyo, kesho tena..............hahah
  6. GFM

    On Second Thought

    No comments maana hawa unaowazungumzia hapa nadhani ni rare type uncommon in the place i live. Kama wote wako hivyo hata dada zangu ningewakataza kuolewa
  7. GFM

    majina ya wasichana

    wewe unakuwa wapi mpaka yeye amalize mchezo na kukuwacha wewe nanihii mie saa nyingine naona mnajitakiaga.........mawazo yenu siju ndio yako kwa Safari wakati huo...... hahah mpaka uje uyarudisha kwa Ako Nai, yeye keshamaliza. Weka mawazo yako uwanjani
  8. GFM

    Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

    shauri yako wenzio tushakula lunch tunakaribia kwenda mitaani sasa kuangalia busaa na puree, na makonki hahah
  9. GFM

    Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

    salama tu siju wewe na asubuhi hii yote, chai umekunywa kweli hahah
  10. GFM

    On Second Thought

    That line is kind of convoluted, ebu elaborate plse
  11. GFM

    Wanawake msitupime imani kiivyo....

    hahah its now and you know who is for u, still worried?
  12. GFM

    majina ya wasichana

    Hahahh njaa ya siku moja haiui mtu !!! hahah LOL
  13. GFM

    Wanawake msitupime imani kiivyo....

    Balaaa lipi tena, u got to be confident and happy when I am around............hahah LoL
  14. GFM

    On Second Thought

    U sound ambitious and confident, a kind of a woman every man would like to have. So, do u believe on this limbwata thingy maana it makes me sick. Yaani nikisikia wanawake wanazungumzia hii kitu nawaona kama wanga flani hivi, sorry no offense
  15. GFM

    On Second Thought

    Ndio nillikuwa namwambia michelle hapa kwamba caring, love, comfort and the like can be provided na mwanamme bila shaka ............ila hii ya kwenda sijui kwa sangoma akutengenezee mi naipinga kwa nguvu zote
  16. GFM

    On Second Thought

    No doubt Michelle..........even nicer ........... mi huwa naamini kwamba ukiwa na age mate wako or near age mate mtakuwa na mengi tu ya kufanya pamoja na hata kurekebishana inakuwa rahisi. Lakini utakuta wasichana hata watatu wanamgombea check bob flani halafu ukiangali hamna future wala nini...
  17. GFM

    Udadisi tu...

    Pole michelle, wala sio tamaa, u got to keep him buizy. sio ukikutana na shoga zako basi ni soka mpaka unasahau kwamba una mume hahah
  18. GFM

    On Second Thought

    Michelle, kwanini usi-experiement na huyo wa ku-raise na familia? what is wrong with that? Mkishachoka na hizo experiment ndio mtafute yale mlokuwa mnayaita mazoba, aliye-settle mwenye hela? Apo ndio mnaishia kunyanyaswa, unaanza kutafuta visivyotafutwa, limbwata sijui toa tigo......... mi naona...
  19. GFM

    On Second Thought

    Kuna kaimani flani eti kama ukipewa ukakataa atapeleka kwingine.......siju kama kuna ukweli ndani yake. Kama hutokula basi muachane au uwaachie wenye meno watafune. Hapa mwanamme ni mpokeaji tu .......nadhani mwanye shida ni mtoaji au nakosea?
  20. GFM

    On Second Thought

    Good for you dada! kwa wengi ni kilio........... stay away from limbwata .........u will be fine!
Back
Top Bottom