Search results

  1. E

    CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Ww nae kiaz, sheria inasema kama hiyo kaz tz hamna wataalam wakuifanya ndio mtu kutoka nchi za nje anaweza pewa kibali afanye. Amkeni usingizini Tz kwanza
  2. E

    Utajiri wa Rais Magufuli huu hapa

    Umetisha mkuu
  3. E

    How to make natural viagra using only 2 ingredients

    Hiv kwel viagra dukan zinanunuliwa dana?
  4. E

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Cc firebridge..mbona umepotea tena?
  5. E

    Kuitwa kazin...MAGENTA TUTORING CENTER

    Wadau, wale mkiofanya imterview magenta tutoring center Masaki washaanza kuita? Tujuzane updates
  6. E

    Mbegu za maboga: Zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa 10 hatari

    Sasa wewe mk kilichokusaidia ni mkonge au maboga? Manake kuna post ingne unasifia mkonge uku
  7. E

    Duka la jumla

    Asante mkuu
  8. E

    Duka la jumla

    Wakuu 3 mil naweza anzisha duka la jumla maeneo ya mbagala charambe? Msaada plz kwa wazoefu
  9. E

    Ushauri: Makabidhiano ya boda boda

    Wadau mbona hawaj??
  10. E

    Ushauri: Makabidhiano ya boda boda

    Wazoefu, naomba mnisaidia jinsi ya kumkabidh mtu boda yako. Kuhusu mashahd, na namna ya kuhakksha boda yako inakua salam na huingii hasara endapo jamaa atapotea nayo
  11. E

    Ushauri: Nimuoe au vipi?

    Sometimes nafikir labda naweza kujifunza kumpenda kama alivyo kadri ntakavyoish naye....
  12. E

    Ushauri: Nimuoe au vipi?

    Toa ushaur, mtu akileta jambo hapa anataka elim imsaidie kufanya maamuz sio kama inavyofanya ww
  13. E

    Ushauri: Nimuoe au vipi?

    Thanks umeongea kkubwa!!
  14. E

    Ushauri: Nimuoe au vipi?

    Naogopa nikimuacha sitapata mwenye yabia na mapenz kama yake
  15. E

    Ushauri: Nimuoe au vipi?

    Yan kama naogopa kuingia kwenye ndoa hv... Alaf nahs ntajuta kumkosa nikmuacha coz ananpenda sana
  16. E

    Ushauri: Nimuoe au vipi?

    Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mimi napenda wanawake weupe.Moyo hautaki kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahisi nitakua natamani sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material sana. Nishurini jamani nimuoe hata kama nafsi ipo nusu nusu kwake?
  17. E

    Mume wa mtu

    God bless u
Back
Top Bottom