Search results

  1. Boogman

    Tukutane hapa tuliowahi kuibiwa na wanawake guest house

    Hahahaa! Inauma ila tamu. Mimi ni driller by profession so hii nchi nimezurura mno Alhamdulilah, kote nilipozurura napanyooshea mikono Moro Town. Siku hiyo nakula gambe mitaa flani jirani na Msamvu panaitwa Itigi nikaopoa binti. Mmh! baada ya monde sana akanambia tuhamie Yohana Pub tukaenda...
  2. Boogman

    Wadau naomba mwenye kufahamishwa kazi za wanajeshi wa kike jeshini!

    Za jioni wadau?mm bint yng anataman kuingia jeshini kabla cjamkubalia nikaona niwashirikishe ili nipate uelewa ni nn haswa kazi ya wanajeshi wa kike jeshini ikiwa kwa umri wng c haba cjapata kuwaona mstar wa mbele vitani,karibuni kwa wenye uelewa nipate kuelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Boogman

    Zembwela na ukuu wa mkoa!

    Hahahaaa hapana haijatangazwa popote wanajamvi Bali ni Mimi mwenyewe nimeamua kuwaza kwa sauti! Sio siri huyu Zembela nimejaribu kumfatilia kwenye kipindi cha super mix East African Radio pia kipindi cha uswazi pale EATV nimegundua jamaa anaupeo mkubwa wa kupambanua mambo pia ni jamaa aliekulia...
  4. Boogman

    Hivi ni nani aliyegundua taa za chemli?

    Wakuu salaam,polen na shughuli za kutwa nzima,nimekaa na kufikiri kwa sauti embu tujuzane ni nani aliyegundua taa za chemli mbona pale unapotoka utambi kuko vile?karibuni jukwaani tujadili pamoja!
Back
Top Bottom