Search results

  1. mfano

    Inaweza ikasaidia

    Usaliti, usaliti, usalitii,. Maisha ya kimapenzi Leo yame gubikwa na usaliti.. Watu wana vaa sura za mbwa mwitu, na roho za kishetani ana kuambia "ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni" basi hapo ana la kujali wala kukumbuka ni mazuri mangapi umemtendea, ili mradi kashapata kasababu kake...
  2. mfano

    Wazazi tujadili: Ni kigezo gani unatumia kumuita mtoto jina?

    By age niko above 20 mdogomdogo naelekea 30, so mkubwa kihivyo, naamini wapo wengi tu ambao ni rika la wazazi wangu. Nianze kwa kuwasalimia shikamooni. Kwakweli kuna jambo hua linanitatiza sana, so naombeni mnisaidie kuniweka sawa. Hivi wazazi wangu ni vigezo gani hua mnavitumia kutuchagulia...
Back
Top Bottom