Search results

  1. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bog gabi ananikosha sana kusema ukweli ana mzuka wa hatari
  2. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Chuma kinanikosha sana hiki, bahati mbaya nyota yake ni kama yangu tu hazing'aai, kaka.jambazii[emoji119]
  3. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Watupe nkunku na palmer, Mudryk ni snitch
  4. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nimefurahi ameanza kupata heshima anayo stahili, jamaa n mwamba kwelikweli tumemtetea sana humu
  5. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta ana matatizo yake na hiyu mwamba akianani tena
  6. mfano

    Physics ni somo gumu sana kuliko masomo yote hapa Tanzania

    Huo mwaka ulaaniwe kwa jina la yesu, yule second master Shaban alichangia tuboronge uo mwaka
  7. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    M bado nalia na striker kuna cross zinapigwa zinapita patupu final third hamna mtu, goal nyepesi tu za tap in zinakua missed hivhiv Tangu game na Aston villa tunaupiga mpira mkubwa sana lakin lack of goal inafanya tuonekane hatujafanya kitu, Arteta lazma afanye jambo
  8. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Striker n tatizo halisi tulilo nalo tunapaswa kulifanyia kaz january
  9. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal tunaupiga meingi sana tatizo kufunga
  10. mfano

    Jinsi marafiki wa mpenzi wako wanavyoweza kukuharibia mapenzi yako, yamenikuta

    Ni shida sana. kuna mmoja nilikua naye yeye hawakua marafiki bali ni ndugu zake kabisa. wamezaliwa sita wote wakike yeye wapili kuzaliwa, dada yake na mdogo wake anaye mfuata ni masister duu trend na fashion haziwapiti. wanawaza mambo makubwa makubwa kufuatilia ma star na kwenda club, huyu...
  11. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna mmoja anakwambia Guimaraes n bora kuliko Partey nikaona kwrli unazi umezid, labda kumzid fitness vile partey n majeruh sana lakin akiwa fit mbugimbugi Partey ana hatarii
  12. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Namba gani ndo majukumu hayo mzee, ukishasema namba tisa majukumu yake yana julikana, havertz ni versatile player unaweza ukamtumia mpaka false nine nafasi ambayo siioni guimaraes hakiimudu, Guimaraes ndio ana kipiga kuliko havertz lakin katika nafasi gani!? box to box teyar tunae Rice na Partey...
  13. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hoja yako naona kama umeificha, ni kweli hatujawai kuuza wachezaji kwa gharama kubwa so what? usije ukawaza kwamba ndo haatujawai kuuza mchezaji wa profile kubwa, maana naiona hoja yako kama imejificha hapo kwamba mchezaj mkubwa ndo pesa kubwa. Wakati flani hizi deals zina mambo mengi haziendan...
  14. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kai n alternative sasa hivi anapata namba sababu Partey n injury akirud kiungo atakua Partey, Rice, Odegard
  15. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sasa Guimaraes ni namba ngapi, anaweza cheza namba ya ode na akakupa performance kama yake, m navyojua Guimaraes n Dm na DM tulionao sisi n Rice na Partey labda sasa ndo useme utamtoa nani kati ya hao ili Guimaraes acheze
  16. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Astonvilla watakuja pale Emirates mtaona kitakacho wakuta, tulifungwa na lens mkasema hivhiv ila kilichowakuta pale emirates mkabadilisha na story tulien, tembo juu anarudi kama kawa, Aston villa washukuru ubutu wa arsenal pale mbele hivhiv zahama lingewakuta.
  17. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Uzuri wa haters hawaangalii yakwao wanaangalia ya wengine, man fongo kafa kikatili bado wanapumzi ya kutubeza, kuku nao chupuchupu ashukuriwe VAR lakn wanajikuta wako firee haya twendee
  18. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wanaosema tumecheza vibaya siwaelewi au kwasababu hatujapata goli, hatuna proper striker pia yule zinny tatu anakua mzigo sana hakabi, lakin kiungo mtamu n vizuri akabak tu acheze nane ya kushoto
  19. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta afanye mpango zinnynawe tu midfielder mazima ana balaa
  20. mfano

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tunacheza vizuri sana n tumeshindwa tu kupata goli tunawasaka sio poq
Back
Top Bottom