Search results

  1. L

    Ushauri wa kitaalamu: Misumari ya Bati

    Habari za asubuhi wanajamvi! Samahani naomba Kuuliza kwa anayefahamu, Hivi kuna tatizo gani linaweza kutokea endapo utatumia misumari ya bati za kawaida yaani migongo midogo kuezekea bati za migongo mipana! Naomba kufahamu hilo! Nawasilisha!
  2. L

    Peanut butter for sale TZS. 6,000/= @Kg

    Habarini za asubuhi wanajamvi! Nauza karanga zilizosagwa a.k.a Peanut butter! Hizi zina faida nyingi sana kiafya! Karibuni kwa wanaohitaji. Nicheck kwa namba hii hapa chini; 0621 002 220
  3. L

    Maharage yanauzwa tani moja!

    Habari wanajamvi! Ninauza maharage ya Kigoma ya njano tani moja! Mzigo upo DSM,@ kilo ni TZS.1,600/= Anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0621002220! Karibuni!
  4. L

    Ujenzi ujenzi ujenzi!

    Habari za humu Wakuu! Naomba kujuzwa ni brand ipi ya bati au kampuni ipi ya bati inayozalisha bati nzuri kwa kuezekea ambazo hazipauki. Nauliza hivo kwa sababu kumekuwa na viwanda vingi sana siku hizi ambavyo bati zake zimekuwa zikipauka kwa muda mfupi sana! Naombeni mwenye kujua anifahamishe...
  5. L

    Karanga zilizosagwa (Peanut butter) zinauzwa!

    Habarini wapendwa! Ninauza karanga zilizosagwa kwa shilingi 6,000/= tu kwa kilo Kwa mawasiliano tumia simu +255 621 002 220 Karibuni sana!!
  6. L

    Karanga zilizosagwa (peanut butter) zinauzwa

    Habari wapendwa Ninauza karanga zilizosagwa kwa shilingi 6,000/= tu kwa kilo Kwa mawasiliano tulia simu hii +255 621 002 220 Karibuni sana!
  7. L

    Karanga zilizosagwa (Peanut butter) zinauzwa TZS.6,000/= @ kilo

    Habarini wandugu! Karibuni wapendwa,ninauza karanga zilizosagwa ali maarufu kama Peanut butter kwa bei nafuu ya shilingi 6,000/= tu kwa kilo. Kwa mawasiliano piga +255 621 002 220
  8. L

    Majaribu kwa wanadamu hutoka wapi?

    Habari za jioni wanajamvi! Wapendwa katika Bwana, ni matumaini yangu kuwa hamjambo,kwa wale mlio wagonjwa, poleni sana, Mungu atawaponya kadiri ya mapenzi yake mwenyewe! Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye mada! Leo jioni nikiwa nimepumzika nyumbani,niliamua kuchukua Biblia takatifu...
  9. L

    Daktari: Azoospermia ni tatizo gani?

    Habarini JF Kama heading inavyojieleza, kuna jamaa yangu aliniuliza, Azoospermia ni tatizo gani, Na Je, linatibika? Sikuwa na uelewa sana juu ya hilo tatizo japo najua linahusiana na mambo ya uzazi. Naomba kwa anayefahamu zaidi kuhusu maana halisi ya neno/tatizo hilo na jinsi ya...
  10. L

    Bima ya NHIF

    Habarini wakuu! Kwa anayefahamu, naomba kujua kama Hindu Mandal Hospital wanatumia bima za NHIF! Msaada Tafadhali!!
  11. L

    Daktari wa magonjwa ya wanaume Dar es Salaam

    Habari Wanajamvi! Daktari wa magonjwa ya wanaume anaitwaje, na ninaweza kumpata/kuwapata hospitali zipi hapa Dar es salaam! Ni swali nililoulizwa na rafiki yangu, nami sikuwa na majibu ya kuridhisha kwani sina utaalamu zaidi juu ya hilo! Karibuni kwa yeyote anayejua tuweze kumsaidia rafiki...
  12. L

    "Mimba hiyo siitambui"

    Habarini wakuu, Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni jamaa yangu mmoja alinifuata na kuniambia kuwa wana ugomvi na mke wake juu ya mimba aliyonayo kwani mazingira aliyoipata hiyo mimba hayana udhibitisho au uhalali wa jamaa kuwa mmiliki. Labda nieleze kwa kifupi juu ya...
  13. L

    Ushauri: Nahitaji kuanza ujenzi

    Habari wanajamvi, Nina imani humu kuna watu wenye fani mbalimbali na wenye uzoefu wa mambo tofautitofauti. Naomba mawazo yenu wakuu. Ninahitaji kuanza kaujenzi ifikapo mwakani, niandae kiasi gani cha fedha kukamilisha boma peke yake lenye jumla la vyumba vinne, sebule, jiko na dining. Karibuni!
  14. L

    Nini Lengo la kuoa au kuolewa?

    Amani Iwe Juu Yenu! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale kwa ajili ya kujitafutia riziki! Nisiwachoshe sana,ngoja niende moja kwa moja kwenye mada! Kuna siku mwezi uliopita nilikuwa mtaani,nikawakuta vijana wanajadili juu ya maisha ya ndoa! Walikuwa wanamjadili mwanamama fulani hivi mtaani let...
  15. L

    Tafadhali naomba kujua,Mbegu za mwanaume huchukua muda gani kukomaa!

    Habarini wakuu!! Poleni kwa pilikapilika za wiki nzima,nina imani wengine mtakuwa bado mko kwenye mihangaiko ya kimaisha kwa ajili ya kujipatia riziki, wengine kwenye nyumba za ibada wengine safarini na wengine mmepumzika nyumbani na familia zenu. Nisiwachoshe sana,naomba kwenda moja kwa moja...
  16. L

    Ni lazima shahawa zote ziingie ukeni ili kusababisha ujauzito?

    Habari wakuu! Kama swali lilivyouliza, Je wakati wa tendo la ndoa mwanamme anapomwaga shahawa zake ni lazima ziingie zote ukeni ili aweze kumpa ujauzito? Au kuna zingine huwa zinarudi nje na je ikoje hii katika kumpa mimba/ujauzito mwanamke!! Nawasilisha!! NB: Nitafurahi sana nikijibiwa...
  17. L

    Nimemfumania na mwanamume mwingine, Je nimuoe?

    Habarini wana MMU! Rejea kichwa cha habari hapo juu, hayo si maneno yangu bali ni rafiki yangu aliniambia kuna jamaa yake kamfumania mchumba wake live na mwanamume mwingine wakigawiana tunda. Jamaa keshalipa mahari na kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya kukamilisha ndoa yao. Wazazi...
  18. L

    Ni halali kupokea simu ya mumeo/mkeo akipigiwa?

    Habarini wana MMU, Nina imani mu buheri wa afya nyote! In case mumeo/mkeo yuko mbali kidogo na simu yake halafu ikatokea akapigiwa simu na mtu ambaye aidha ni namba ngeni au iliyohifadhiwa kwenye simu, na wewe upo karibu na simu yake, Je, unaweza kumpokelea! Nawasilisha!
  19. L

    Ni halali kuishi na rafiki yangu katika ndoa yangu?

    Habari wana JF, Niwape pole kwa majukumu ya kila Siku, katika ujenzi wa taifa letu. Kama heading inavyojieleza hapo,nilijikuta niko katika wakati mgumu baada ya kuulizwa swali hilo na rafiki yangu wa karibu sana. Nina rafiki yangu, anatarajia kuolewa mwaka huu, kwa sasa anakaa na rafiki...
Back
Top Bottom