Habari za asubuhi wanajamvi!
Samahani naomba Kuuliza kwa anayefahamu,
Hivi kuna tatizo gani linaweza kutokea endapo utatumia misumari ya bati za kawaida yaani migongo midogo kuezekea bati za migongo mipana!
Naomba kufahamu hilo!
Nawasilisha!
Habarini za asubuhi wanajamvi!
Nauza karanga zilizosagwa a.k.a Peanut butter!
Hizi zina faida nyingi sana kiafya! Karibuni kwa wanaohitaji.
Nicheck kwa namba hii hapa chini;
0621 002 220
Kama amekitaka mwenyewe unaweza muuzia kwa bei ya sasa lakini! Pengine Mungu anakuepusha na jambo fulani!
Nikupe ushuhuda kidogo!
Mimi nilinunuaga kiwanja kwa jamaa yangu miaka kadhaa iliyopita,nikamtangulizia kama 85℅ ya gharama za kiwanja! Kiasi kilichobaki tukakubaliana kulipana baadae...
Habari wanajamvi!
Ninauza maharage ya Kigoma ya njano tani moja! Mzigo upo DSM,@ kilo ni TZS.1,600/=
Anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0621002220!
Karibuni!
Habari za humu Wakuu!
Naomba kujuzwa ni brand ipi ya bati au kampuni ipi ya bati inayozalisha bati nzuri kwa kuezekea ambazo hazipauki. Nauliza hivo kwa sababu kumekuwa na viwanda vingi sana siku hizi ambavyo bati zake zimekuwa zikipauka kwa muda mfupi sana!
Naombeni mwenye kujua anifahamishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.