Search results

  1. F

    Tatizo la kuishiwa damu wakati wa ujauzito

    Hope wote mu wazima. Mi ni mdada wa miaka 26, miezi minne nyuma kabla cjapata ujauzito nilipata tatizo kuishiwa damu nilizunguka hospital nyingi hadi regency wakasema sina tatizo, nikawa naendelea kuhangakaika huku na kule. Mwezi wa tano nikapata mimba hadi sasa mimba ina miezi sabal, tatizo...
  2. F

    Msaada wa haraka tatizo la damu

    jaman natumain mu wazima. mi ni bint ,nna tatizo la kupungua damu tangu mwez wa kwanza.nikitumia vyakula au dawa inapanda hata had 13,lakn nikiacha baada ya wiki kama tatu naikuta 9,,.nimepima vipimo ving kama full blood picture,vidonda vya tumbo ,minyoo,kote naambiwa niko normal cna...
  3. F

    Jamani msaada wana JF

    hope wote mu wazma, jaman naombeni mnisaidie hivi kuna dawa za typhoid ambazo husababisha damu kupungua mwilini? hope ntapata majibu mazuri.
  4. F

    Nisaidieni cha kufanya kuhusu hiki Kizunguzungu

    natumai wazima jaman nimekuwa nikisumbuliwa na kizunguzungu,mara ya kwanza nilijua ni typhoid kwan nilikuwa nayo.bt now natumia dozi ya typhoid lakini kinanipata.lakini siku nikishinda na njaa labda asubuh au mchana bas ndo kinakuja.kinakuwa cha dk mbili hv kikali halafu kinaacha hadi siku...
  5. F

    Jamani nini cha kufanya maana sielewi

    Salaaam wanaJamiiForums hope wazima. Mimi ni mwanamke jamani,nina mpenzi wangu naamini ananipenda nami nampenda, mimi nina kazi nae anayo lakini anataka aache sababu hawampi salary yake tangu aanze ana nusu mwaka lakini wamempa mwezi mmoja tu. No.1,tatizo mpenzi wangu anataka nimwambie...
  6. F

    wana jf nini chakufanya hapa sielewi!

    salaam kwa wote jaman,,, mim ni ke jaman,nna mpnz wang wa mda mrefu na najua ananipenda nami nampenda but kuna kitu kinanipa mawazo wadau,mi nna kaz na mpnz wang ana kaz but anawaza kuiacha sabab hawampi salary yake. no.1,mpnz wang anataka nimwambie kila pesa navyotumia yani hata kununua...
  7. F

    Asante Mungu na Jamiiforums member utumishi wameniona

    jaman namshukuru mungu kwa kunipatia kazi mana nimezunguka sana dah!jamani msikate tamaa mungu ndiye muweza wa yote ukimtegemea hakuachi.
Back
Top Bottom