Search results

  1. E

    Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa

    Ha Haaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa

    Mkuu kwani wa SUA wana nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

    • Maswali hayo yakijibiwa kwa kigugumizi na wasiwasi jua wazi kuwa. 1. Mtoto sio wake 2. Kama mtoto ni wake basi mleta zawadi atakua na mahusiano naye • Kama Maswali hayo yatajibiwa kwa utuo bila wasiwasi basi hana haja ya kudoubt sema huyo mleta zawadi atakua na kaumama mama flani na...
  4. E

    Sitaki dawa

    Binafsi nimekuelewa vyema, tatizo ni kubwa kwa jamii yetu wengi ni "close minded" sio kwa suala hili tu hata kwa mambo mengine ya msingi kama vile masuala ya kiimani za dini, siasa nk
  5. E

    Fahamu sheria wakati unapofikishwa mahakamani na kusomewa shitaka

    ukikiri kosa sio kwamba hautaruhusiwa kukata rufaa tena, bali utakua limited kwa sababu zako na kwamba utaomba upunguziwe adhabu.kwa mfano mshitakiwa anaweza kuenter a plea of guilty kwa kosa la wizi akafungwa miaka 7 lakini anaweza kuappeal na akapunguziwa adhabu kutegemea na ukubwa au thamani...
  6. E

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    na hapa ndipo wabongo wengi tunafeli
  7. E

    Hivi ni rahisi kuona mpenzi uliemzoea anaoa/olewa na kusema 'waache waoane?'

    Mkuu hats Mimi hili limenikuta, na mchumba wangu ameolewa Leo asubuhi. Wacha waoane, lakini roho inaniuma sijui mfano wake.
  8. E

    Safari yangu ya kigali

    Rwanda majanga matupu, kila kitu kwa foleni hadi stendi mnasubiri magari mkiwa mmepanga foleni utadhani mpo kindergarten. Nilipata tabu sana kuzoea na kila Mara nilipamiss tz.
  9. E

    Safari yangu ya kigali

    Ukiacha viunga vya Remera Kigali ni ovyo tu kuna maeneo kama Nyabugogo huwa napafananisha na mabatini Mwanza
  10. E

    Karibu tutabiri vichwa vya magazeti kesho

    Bila shaka litakua ni 'mawio'
  11. E

    Achilli will kill his father and marry his mother

    Kimefasiliwa kiswahili kinaitwa "Mfalme Edipode" ni kitamu balaa
  12. E

    Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Ili kujua kama nyoka ana sumu au la! ni vema kumchunguza meno yake, kama yameota Kwa juu ni nyoka hatari na mwenye sumu lakini kama yameota kwa chini Huyo atakua nyoka wa Kawaida na hana madhara yoyote hata kama atamgonga binadamu.
  13. E

    Ushauri: Nimegundulika kuwa na High Blood Pressure. Je, nifanyeje kuhimili hali hii?

    Mkuu Fanya haraka uchunguzi wa chanzo cha HBP, unaweza ukaendelea kutumia dawa kushusha pressure ukajikuta unaathiri viungo vingine kama vile figo. Kwasababu maranyingine HBP husababishwa ama kuziba au kupungua ukubwa wa mishipa inayosukuma damu has a kuelekea kwenye figo. Ukisha fahamu chanzo...
  14. E

    Nyegezi iko Wilaya gani Mwanza?

    Karibu na muposita
Back
Top Bottom