Search results

  1. sniper05

    Hashimu Rungwe is latest intelligent political leader

    Neglecting other human weaknesses Kwa maoni yangu ninamuona Mh RUNGWE kama kiongozi mwenye akiri ya kufikiri for the time being ]
  2. sniper05

    10 Great Reasons to Drink Beer. Pay Attention to No. 4

    Too much alcohol is not good for the health as we all know and the body and mind both suffer, but mostly the brain and liver. Alcohol includes wine, beer and liquor too are all depressants of the central nervous system. But, one beer per day is actually good. It has vitamin B and proteins more...
  3. sniper05

    Zitto: Rais anapojiteulia Kiongozi wa Bunge anayemtaka, mjue huko mbele Bunge litafanywa kibogoyo

    Nitamnukuu kama alivoandika katika ukurasa wake wa "Facebook" ...... "... Hata Nyerere hakuwahi kujaribu kuleta Spika wake au Naibu Spika wake mfukoni. Alipomteua Chief Adam Sapi Mkwawa kuwa Waziri alifanyiwa rebellion na wabunge ( wakati wa chama kimoja) akamrudisha mpaka alipostaafu tena kwa...
  4. sniper05

    Plot4Sale Viwanja Bagamoyo vinauzwa

    Kwa anayehitaji Plots zilizopimwa Maeneo ya Bagamoyo zenye ukubwa tofauti kulingana na mahitaji yako tunaweza kuwasiliana. Kwa sasa kuna plot inauzwa ipo karibu na mji wa bagamoyo (Ukuni) ni zaidi ya square metre 1,000 Unaweza kuni-PM kwa mawasiliano zaidi.
  5. sniper05

    Mshahara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ndg wanajukwaa; Katika hali iliyopo Sasa wananchi tumekua tukijiuliza maswali mengi kuhusu kiwango halisi cha mshahara anacholipwa rais wa Tanzania. Kwa haraka haraka nimepitia nyuzi tofauti kwenye mitandao na kugundua kuwa Rais wa Tzee analipwa kati ya 24 million na 32 million kwa mwezi sawa...
  6. sniper05

    Tanzania Yatajwa kuwa nchi ya 8 kwa uzuri DUNIANI

    Katika pita pita kwenye mitandao Leo nimekutana na hii makara ambapo Tanzania imechukukua nafasi ya nane kwa uzuri duniani "The most beautiful countries in the world"... Tanzania ranked as the 8th most beautiful country in the WORLD! | Mirrowdaily
  7. sniper05

    Muhimu:Hii ni kwa wale wenye akili timamu na wazalendo wa Tanzania tu

    .......Unaujua wimbo we're the world? Kina Michael Jackson waliimba kuichangia Ethiopia iliyokuwa inachanwachanwa na kusambaratishwa na njaa na ukame watu walikufa pamoja na mifugo hiyo ilitokea mwaka 1984 baada ya mpiga picha maarufu duniani Mohammed 'Mo' Amin pamoja na Michael Buerks kupiga...
Back
Top Bottom