Search results

  1. Sukari Yenu

    Msaada, nahitaji tiba ya meno

    Nimekuelewa mzee.
  2. Sukari Yenu

    Msaada, nahitaji tiba ya meno

    Okay....asante sana.
  3. Sukari Yenu

    Msaada, nahitaji tiba ya meno

    Hahaha asante mkuu
  4. Sukari Yenu

    Msaada, nahitaji tiba ya meno

    Sawa. Asante sana.
  5. Sukari Yenu

    Msaada, nahitaji tiba ya meno

    Asante sana Sky. Je hizo dondoo hapo juu unaweza nigusia?
  6. Sukari Yenu

    Msaada, nahitaji tiba ya meno

    Wakuu habari za weekend, Shida yangu kubwa ni meno yangu mawili ya mbele, meno ya tabasamu. Meno haya yameinuka kidogo kiasi ambacho yamezidi ule usawa wa meno ya chini. Yametengeza kitu kinachoitwa overbite. Jino moja la upande wa kulia limeanza kuinuka kabisa linatoka nje ya mstari. Kwa...
  7. Sukari Yenu

    Ndugu zangu mnanilaumu bure tu. Mngenisikiliza kwanza

    Huu uzi bila kutaja magari yako unayomiliki ni kazi bure.
  8. Sukari Yenu

    Binti kaa mbali mita thousand hili goma la machizi nisijeonekana natafuta kiki

    Sasa mtu ni bikra halafu sio wife material. Who would u choose? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Sukari Yenu

    Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

    Unajuaje kama ye anataraji malipo kwa mola wake? Lau kama anataka tu kusaidia watu wapate sehemu nzuri ya kusali tu? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sukari Yenu

    Erick Kabendera alivyopokea taarifa kifo cha mama yake mzazi

    Ningekuwa na uwezo alonao Mungu kwa dakika 10 tu sijui ningefanya nini? Jiwe? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Sukari Yenu

    Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

    Kwani msikiti lazima ujengwe na Muislam? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Sukari Yenu

    Wozaaa Rotimi shemeji wa dunia katua Tanzania

    Dah hapa sijaelewa. Sasa Rotimi ndio nami? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Sukari Yenu

    Waziri Kigwangalla asema amemaliza mgogoro na Katibu Mkuu wa Wizara yake

    Kigwangalla kwanini anaacha taaluma na kuparamia mambo mengine? Huku ndio kusoma bila malengo.....hivi linashindwa kufungua hospitali likapiga hela mapaka linakomaa na siasa? Kama shida ni hela invest kwenye profession yako? Sasa ulisomea nini? Ona sasa kila siku yuko maporini kisa kumridhisha...
  14. Sukari Yenu

    Binti kaa mbali mita thousand hili goma la machizi nisijeonekana natafuta kiki

    Mwanangu dagaa wanapatikana huko Igombe? Back to the topic. Bikra is not dignity, it's just lack of opportunity. Binafsi sijaoa. Kuna bikara nimempiga kibuti baada ya miezi 2 tu ya kujuana naye...ana tabia mbaya. Anakasirika kwa mambo madogo, ananifokea fokea kwa mambo madogo madogo. Kuna siku...
  15. Sukari Yenu

    Njaa ni namna ya nzuri ya kufanya "meditation" kufikiri kwa ufanisi au kujenga focus

    Sijui ndo maana yule mhindi wa kampuni yangu alinipa kazi kwa kuniinterview nikiwa na njaa asubuhi. Sikunywa chai.....na watu wengi wanakosa kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Sukari Yenu

    Kwa tuliosoma kayumba: Leo tukumbushane vitu tulivyokuwa tunatumwa na walimu wetu enzi tukiwa shule za msingi

    Nimesoma kayumba ya wilayani, haikuwa mjini sana ila sio kijijini kabisa. Fagio za chelewa, majembe, nguzo za kujengea jengea sehemu za nyasi, maua, maji na kuni. Wasichana ilikua kawaida kuagizwa wakachote maji kupeleka kwa walimu. By the way dingi alikua ticha so nimekula sNa mseleleko wa...
  17. Sukari Yenu

    Kwa tuliosoma kayumba: Leo tukumbushane vitu tulivyokuwa tunatumwa na walimu wetu enzi tukiwa shule za msingi

    Choo cha shule kilijengwa kwa nyasi? Aisee Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom