Search results

  1. Untie

    Ninaomba Jibu la Hesabu Yangu hiyo

    Jibu n 2
  2. Untie

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    mmmhh wapii:eyebrows:
  3. Untie

    Augustine Mrema apitishwa tena na TLP kugombea ubunge Vunjo

    mmmh kumbe bado kazi kwelikweli.. Haya.
  4. Untie

    Mji Wa Dares-Salaam Mnamo Mwaka 2200 Utakapo kuwa upo hivi

    Hii itawezekana mwakani wala sio 2200
  5. Untie

    Madereva wetu

    Suala la ajar za barabarani kila mtu anahusika kwa namna yake kwanzia serikali, mamlaka huska hadi abiria., tatizo ni ubinafsi na tukiendela kuuendekeza utatumaliza
  6. Untie

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Mkuu, kwakuwa uwezekano wa kuahirisha upo. Ni afadhari uahrishe kwanza na utulie, huenda biharus mpya tabia hiyo ni yake kweli ambapo naiman walau chembe za hyo tabia ulishaziona tangu mlipoanza kufahamiana(kufundshana kazi), kama hakuna mapungufu mengne yoyote, tulia na ufikiri upya, kwa huyo...
  7. Untie

    Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Mkuu yaani bila hofu kabisaaa. Haya hongera kufanikiwa kuishi kwa hadithi za dhahania.
  8. Untie

    Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    duuu.. Kweli kazi bado ipo saana mmh..!
  9. Untie

    Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Mkuu. Inaonekana u mzoefu ee.. Haya na umechukua hatua gani kukabiliana na hio?
  10. Untie

    Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Endeleen kuwavumilia tuu na hamtashndwa, maana hata wabadhirifu mnawavumilia hata pasipo maulizo
  11. Untie

    Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Mkuu.. kwani linapoenda kigoma huwa linapaa angani au huzama ardhin kutoka pale steshen dsm na kuibukia kgm stesheni..?! Hivi huwa kuna alama au kibandiko kuwa anaepanda na kushuka kwa tren hilo ni Mkigoma.??!
  12. Untie

    Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Na bahati mbaya saana hao wanaotambulika na kuonekana kuwa ni waelewa ndo chanzo cha yote yatokanayo. Sasa....
  13. Untie

    Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Kwa mfano wapi huko kuliko na wastaarabu pekee mkuu Tanzania yetu.?
  14. Untie

    Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Mmmh mkuu pole kwa yaliyokwisha kukuta lol.!, inaelekea walikuathiri kweli.. Pole sana.
  15. Untie

    Treni ya kisasa (Delux), kwenda Bara yenye mabehewa 22 imeanza safari kwenda Kigoma

    lol jaman.. Kwani wabongo ni watu wanamna gani hata mpaka karne hii washindwe kuwa na uelewa na utambuzi kwamba usipojithamin mwenyewe hakuna ataeweza kukuthamini.?! Em tupendane jaman itatusaidia kutofikiriana kutokutenda na kutendeana yasiyopendeza/yasiyotakiwa katika jamii
  16. Untie

    Chips ni Mboga au Chakula? Soma hapa

    Mmmh.! Kwahivo maharage na mahindi nayo ni matunda?!
  17. Untie

    Eneo hatari: Darajani, makutano ya Barabara ya Nyerere na Mt. Shaurimoyo Dar

    Na inawezekana kabisa hawapati mgao wowote bali ni ule uholela-holela na ubinafsi unaoendelea kumnyemelea na kumtawala kila mtanzania. Chamsingi ni kila yeyote awe anavotakiwa kuwa&kufanya katika mazingira&wakati husika na kwa nidhamu&upendo.
  18. Untie

    Waziri mwenye dhamana uko wapi? Piga marufuku mavazi ya ajabu tumechoka

    Na ninamashaka, kama ni kipofu sijui ataionaje picha anayoitaka..
Back
Top Bottom