Search results

  1. K

    Tunauza Samaki Vibambala

    Njoo ujipatie samaki vibambala (smoked fish), wakubwa 13000 na vipande ni 4000. Napatikana Dar, Karibuni. 0784427363.
  2. K

    Naomba kujuzwa taratibu za kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho

    Naplan kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho. Anaejua utaratibu wa kupata eneo kwaajili ya kuweka meza ya biashara hapo Mbezi naomba anielekeze.
  3. K

    Kioo cha Saluni kinauzwa Mtoni Kijichi

    Nauza kioo cha saluni ni kikubwa bei laki 1, kipo mtoni kijichi. Mawasiliano 0784427363.
  4. K

    Kupaka kucha rangi

    Wakuu habari, natarajia kufungua biashara ya kupaka kucha rangi na kubandika kucha rangi kwa wadada yan kuwa na frame mwenye kujua ABC ya hii biashara anipe muongozo tafadhari.
  5. K

    Nauza nyama ya kuku

    Nauza kuku pia unampata tayari amenyonyolewa na akiwa na firigisi yake na maini. 1. Kuku broiler1@8,000 2. Kukukienyeji@23000 3. Kukumayai1@15,000 4. Firigisi 20@8,000/= 5. Drumstick1kg@9500 6. Miguu ya kuku 40@4,000/= 7. Russian sausage 6@8500 Call 0784427363 Tunafanya Delivery KARIBUNI
  6. K

    Naomba kuelekezwa sehemu wanaporusha mitumba ni Ilala ipi?

    Habari wana JF, Kesho nataka kwenda Ilala wanapopoint mitumba asubuhi, naomba kuelekezwa ni Ilala ya boma au hii ya amana hospital, natokea Gongo la mboto. Asanteni [emoji122]
  7. K

    Biashara ya mitumba

    Habari wana jf naplan kuanza biashara ya kuuza nguo za wadada za mitumba kwa kupoint npo Dar. Nimejarib kupitia thread mbalimbal humu nyingi znasema mitumba inapatikana ilala ukiwah alfajir, ningependa kujua ni ilala boma au ile ilala ya Amana, asanteni.
  8. K

    Kipaza sauti

    Habari wadau, ni wapi naweza pata kipaza sauti kama hicho kwenye picha na bei zake zipoje?
  9. K

    Nataka kufanya Biashara ya Mitumba, ina changamoto gani?

    Habari, Ninatarajia kufanya biashara ya nguo za mitumba ila niliplan kuwa naziuza kwenye minada mwenye kufahamu changamoto zake. Naomba anifahamishe na pia kwa Dar anayejua minada inapofanyika au kwa aliyepo Moro anaejua minada inapofanyika na siku zake na malipo kwa siku inakuwaje na...
  10. K

    Uza/Nunua

    Je una used item yoyote unayoitaji kuiuza au kuinunua na hujui n wapi utaiuza,soluhisho limepatikana karibu tukusaidie kuuza na kununua kwa bei poa kabisa call/WhatsApp 0718096900
  11. K

    Sofa, kabati la Tv na vyombo vinauzwa

    Sofa 235,000 Kabati cha vyombo 100,000 Kabati la tv 135,000
  12. K

    Mkopo

    Naomba kukopeshwa 200,000/=Tsh naweka friji yangu kama bond aliye tayar anichek 0784426373.
  13. K

    Jipatie handbags nzuri kwa bei ya 45000T

    Jipatie handbags nzur kwa bei ya 45000Tsh napatikana Mtoni kijichi Dar Es Salam,free delivery kwa wateja wa dar tu,mikoan tunatuma kwa gharama ya mteja. Call 0784427363 WhatsApp 0718096900 ]692099[/ATTACH]
  14. K

    Nunua mikoba

    Mikoba na nainai kwa bei chee unaletewa ulipo,mikoani pia tunatuma pga 0784427363,Karibuni.
  15. K

    Upambaji: Napamba kumbi za sherehe mbalimbali Dar

    Napamba kumbi za sherehe mbalimbali,napatikana Dar Es Salaam kwa mawasiliano zaidi 0718096900.Asanteni.
  16. K

    Nauza vifaa vya saluni

    Ni steamer,kioo cha saluni,lorazi na pesen la kuoshea nywele vipo kwenye hali na bei ni maelewano,Piga 0718096900
  17. K

    Huawei y300 inauzwa

    Ipo kwenye hali nzuri kwa Tsh 120,000 piga 0718096900
  18. K

    Vifaa vya saluni vinauzwa

    Steamer 180,000,Hand drayer 50,000,beseni la kuoshea nywele 40,000 na kioo 70,000 ni cha alminium,piga 0718096900 vpo mtoni kijichi dar es salaam.
  19. K

    Nunua friji

    Aina ya west point,milango miwil 350000,piga 0718096900
  20. K

    Kwa anaehitaji friji

    Ni aina ya West point na ni ya milango miwili kwa 350000 anaehitaji tuwasiliane 0718096900
Back
Top Bottom