Acheni pumba hizo Mali zikikamatwa unafaidi nn ukumbuke hizo Ni kodi Na ww si mzalendo wa nchi hii ndio maana unatoa povu hapa na mtashindwa na ndege zitakuja sijui mumerogwa na nani
Nakubaliana na ninasikia uchungu kama watz tunajipiga vita wenyewe kiongozi kura yangu sikuharibu kanyaga twende usikubari kugeuka jiwe songa mbele ushindi unakaribia ndio maana kelele zinazidi
Mtumishi wa umma unaweza kupangiwa nafasi yoyote sio lazima ubaki kwenye nafasi uliyokuwa nayo sioni sehemu iliyoandikwa kwamba ukishateuliwa hairuhusiwi kutenguliwa haipo hata kama hufai tungangane na ww tu haiwezekani.
Wala hatuhitaji maombi yako ww Ni kibaraka sisi tuliowengi tunapiga magoti na kumuombea kila siku asubuhi Na kabla ya kulala mungu ibariki tanzania bariki viongozi wetu
Wanaoponda ni wapiga dil lakini watanzania waliowengi nikiwemo mm nasema hapohapo driver kanyaga mafuta asieipenda nchi yetu aruke kwenye likiwa kwenye mwendo kasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.