Search results

  1. R

    nina milioni 200

    Wadau Tumshawishi huyu mwenzetu azilete hizo hela hapa nchini itasaidia kuinua pato la taifa letu kwa kuongeza mzunguko wa pesa na kodi,pili wigo wa ajira utapanuka kwa wazawa wa hapa,sasa tunavyotoa majibu ya ajabu haisaidii maana ataamua azitumie huko na wataonufaika ni hao wa huko. Mdau mimi...
  2. R

    Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

    Kuna uwezekano mkubwa wa wasomi wetu hapa nchini hasa wale wa elimu ya juu ( universities) kukosa nafasi ya kushiriki kupiga kura mwaka huu, na hii inatokana na vyuo kufunguliwa baada ya uchaguzi huku idadi kubwa wamejiandikisha wakati wakiwa chuoni... hii nikumnyima mwananchi haki yake ya...
  3. R

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    ...Uoto wa asili utapotea uharibifu wa mazingira utaongezeka kwanza moshi wa magari,pili makelele ya magari pindi yanapopita hapo yataadhiri kwa kiwango kikubwa achilia mbali na uchafu utakaokuwa unatupwa na abiria pindi wawapo safarini.Achilia na hayo tu kile kitendo cha kujenga barabara...
Back
Top Bottom