Search results

  1. L

    Elections 2010 Uchaguzi wa mbunge Ludewa

    Mimi ni mwenyeji wa wilaya ya Ludewa, mkoa mpya wa Njombe., lakini siishi huko. Wana Ludewa wenzangu, nimepata habari kuwa, mgombea ubunge aliyepita sasa aligawa kadi nyingi kwa wanafunzi wa shule za Manda, lakini mbunge anayemaliza muda wake alishinda sehemu zingine zote. Ushindi wa huyu...
  2. L

    Elections 2010 Huyu ndiye real JK!

    Kila anayegombania nafasi ya urais kipindi hiki ana mambo ambayo ameyafanya katika maisha yake ambayo mengine ni machafu mengine ni mazuri. Hakuna binadamu aliyekamili hapa duniani. Kutokana na ukweli huu, tusifuatilie yaliyojitokeza katika maisha yao kama ndugu mmoja alivyoandika katika forum...
Back
Top Bottom