Search results

  1. A

    Nataka kiwanja chenye hati Chanika mvuti au Mbagala Chamanzi

    kisipungue 20*20, kiwe kina hati kwa anaeuza
  2. A

    Viwanja vinauzwa, vyote viko Chanika Zingiziwa

    viwanja vitatu (3) vina ukubwa wa 20*20_@1.3million/-, kimoja kilichobaki nacho kinaukubwa wa 20*20_@2.5million/-, wasiliana nami kwa +255788470662/+255672265290 asanteni
  3. A

    Shamba na viwanja vinauzwa Chanika

    Shamba lenye nyumba ndani linauzwa,shamba unaloweza kukata viwanja pia linauzwa ukubwa wake ni heka 1,pia kuna viwanja 20/20_@2.5mil, vyote vipo Chanika. Mawasiliano piga simu_;-255788470662/672265290, nikukutanishe na mhusika au tembelea blog yangu katika http://www.peperonity.com kisha...
  4. A

    Niko hapa kutafuta mchumba,(mke mtarajiwa tukiridhianai), umri 17-20

    Sifa; awe mrefu 150cm-160cm, asitumie kilevi,awe mkristu mkatoliki,maji ya kunde/mng'avu, mwenye umbo na sura yakuvutia plus tabia njema, umri wake 17-21, mimi mweusi, 24yrz , bado naendelea namasomo! ni PM kwa unaye hitaji kuzungumza namimi. Asanteni
  5. A

    Waliohitimu JKT wahitajika kurudi katika vikosi vyao vya awali

    Inasemekana kuwa waliohitimu Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wanatakiwa kurudi kwenye vikosi vyao vya awali. Hapa inakuaje wadau ni sisi tu wakujitolea au inajumuisha na hawa wadogo kwa mujibu walioomba kubaki.
  6. A

    ilimradi katita

    viongozi wasio na stara bungeni,mitaani na hata ktk mitandao wanataka kutuletea katiba ya namna gani?, bila shaka yenye maslahi ya wachache tu hasa wenye nyadhfa, rais hatashitakiwa kwa makosa ya jinai kamavile kulawiti!!!, huu si niupumbavu!!!!
  7. A

    Ubabaishaji sekta ya ajira

    Nafasi zinazotangazwa ni nyingi ukilinganisha na wasomi walio mtaani, lakini bado hawapati nafasi hizi hii inamanisha wanaoajiliwa wengi ni watu wasio na taaluma hizo, maana ya kuwa na vyuo vikuu iko wapi sasa??
  8. A

    ninani huyu?

    si mfupi,si mrefu,ana mvuto ila havutii ukimwangali,yupo kila mahali??!!?l
  9. A

    Natafuta mchumba mimi ni mume

    Uwe majiyakunde/mweupe, kabila lolote,mkristo, umri 18-23, mkoa wowote ule,mwenye umbo lakupendeza, mimi niko Dar es salaam Kinondoni,ni mweusi 168.60 cm tall. Ni pm nitakupatia mawasiliano yangu.
  10. A

    Anayenifaa

    age 23yrz,nko dar
Back
Top Bottom