Search results

  1. K

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Huyu si asubuhi kasema yuko tayari kwa maanuzi ya chama sasa imekuaje tena mbona huyu jamaa wenge sana!!!
  2. K

    Ndege ya Precision Air yapasuka matairi yote manne huko Arusha!

    Mkuu pole sana ila kwa hilo la Viraka umepoteka material ya tairi ya ndege hayaruhu viraka na kwa uzito wa ndege na viraka visingeweza kuhimili vishindo....wanaweza kuku held accountable kwa kauli yako hii!!! yote kwa yote polee sanaaa
  3. K

    Mtandao huu wakuidhoofisha chadema upo na wasaliti ndo hawa

    Tazama kwa makini mtiririko wa matukio ya viongozi kujiuzulu na sababu zao za kujiuuzulu na staili zao za kujiuzulu..... Matamko licha ya kwamba yanafanana nakutofautiana tu katika mzaingira yanapotolewa!!!! Pale ambapo kuna misingi imara ya Chadema utaona mbinu mpya ya kuyatoa ikutumika pale...
  4. K

    Tamko la Wanachadema Mkoa wa Mwanza - Sababu zilizotolewa na kamati kuu hazikubaliki

    Kweli hii movie cheki matamko yao yote yanafanana!!!!!....sasa huo umoja wenu unauhalali gani mze au unataka kutuuzia chai tu hapa.......kweli mmepotoka!!! Huyo Zitto unayesema nikiongozi wa chama ni chama gani labda maana tujuavyo kashavuliwa madaraka na chama sa sijui mnamzungumzia nanii!!!!!
  5. K

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1: sasa hivi toka lini marafiki wa chama pinzani wakasaidiana kuandaa mkutano tena wa chama pinza na mbaya zaidi juu ya mambo ya chama pinzani.....daaah haya banah endeleeni kutumia uhuru wenu wakutoa maonii!!
  6. K

    Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

    So ukweli ni kwamba mnagombea nafasi ya Uenyekiti!!! na kunakambi ya Mbowe na ya Zitto...... wewe cjui machange wakati unaongelea Chadema kama ulivyotambua mchango wa Zitto ningekuona unabusara kama ungetambua mchango wa watu wawili uliowataja kwa kejeli katika post yako yani Mbowe na Slaa!!! Na...
  7. K

    Uchawi na karne ya 21!!..wanawake walizimishwa kuchimba kaburi wakituhumiwa kuwa wachawi

    Wanawake wawili wakazi wa kijiji cha Izizimba kata ya Mahande tarafa ya Mwamashimba Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, wamelamikia kitendo cha wanaume wa kijiji hicho kuwalazimisha kuchimba kaburi na kuzika kwa madai ya kutuhumiwa kuwa ni wachawi. Wanawake hao wamedai kuwa kitendo hicho siyo tu...
  8. K

    Ukatili: Ripoti kamili ya kushambuliwa kwa dk. Mvungi

    MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi (61), amevamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa kwa mapanga sehemu za kichwani na usoni. Dk. Mvungi ambaye ni mwanasheria maafuru nchini na mwanachama wa NCCR-Mageuzi, alivamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi saa 6:30 usiku...
  9. K

    Hii ndio hoja ya rufaa ya kina babu seya

    Mwanamuziki wa muziki wa dansi nchini, Nguza Vicking ‘Babu Seya' na mwanaye Papi Kocha ‘Mtoto wa Mfalme', wameiomba Mahakama ya Rufaa nchini iipitie upya hukumu yake iliyoitoa Februari mwaka 2010 ambayo iliwahukumu kifungo cha maisha kwa sababu hukumu hiyo ina utetezi wa wazi wa...
  10. K

    Kwa stailii hii madereva wa bongo ni wa starabu

    Unadhani leseni yako ina fit huku!!!!!??? KWA STAILI HII!!! MADEREVA WA BONGO NI WASTARABU ~ Habari Classified
  11. K

    Tazama Video ya unyama wa Madereva boda boda!!......Angalizo video hii inatisha

    VIDEO: MADEREVA BODA BODA WAKIMSHAMBULIA BINADAMU MWENZAO KWA KUMGONGA KWA PIKIPIKI !!! ~ Habari Classified
  12. K

    Ukipata watoto watatu kama hawa baaasii!!!!.......

    Mtoto shujaa aliye karipiana na magaidi kuzuia mama yake na dada yake wasiuwawe!!!! Mtoto wa miaka minne ambaye ni raia wa Uingereza, Elliott Prior ameonyesha ushujaa wa hali ya juu baada ya kuweza kuwatolea maneno makali na ya kugusa magaidi waliovamia jengo la maduka la Westgate. Baada...
  13. K

    CHADEMA wazomewa Mwanza

    VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana, Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa hadhara. Mkutano huo, ulinusurika kuvunjika kwa kupata watu hao...
  14. K

    Utetezi wa Nape Kwa Balozi wa China Umepwaya na Wamemponza

    Kumtumia balozi wa china katika majukwaa yao yakisiasa kwa mtazamo wangu ni kuishiwa kwa hoja kwa wanasiasa hawa wa CCM......walikosolewa na wapinzania wao na wadau wengine juu ya rafu waliyocheza....na kama haitoshi kauli ya hii SEREKALI KUMWANDIKIA BALOZI WA CHINA BARUA !!!!! ~ Habari...
  15. K

    Hili la Al Shabaab kukamatwa Zanzibar linatoa ujumbe gani

    Leo kunahabari juu ya kukamatwa kwa Alshabaab huko zanzibar ALISHABAB WAKAMATWA HUKO ZANZIBAR ~ Habari Classified taarifa hizi zinatia hofu na hata kuhatarisha kushuka kwa utaliii huko zanzibar kwani taarifa za kujipenyeza kwa makundi ya kihalifu huko Zanzibar zinaweza kuwatisha wageni...
  16. K

    CHADEMA yatoa Tamko kulaani matendo ya Balozi wa China

    imekula kwa mchina kwakweli........ Ila hizi ni dalili za CCM kuishiwa sera nakuamua kutumia mabalozi sasa.....
  17. K

    CHADEMA yatoa Tamko kulaani matendo ya Balozi wa China

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kitamshitaki Balozi wa China nchini, Lu Younqing Umoja wa Mataifa (UN) kwa kukiuka Mkataba wa Vienna (Vienna Convention) wa mwaka 1964 ambao unaeleza uhusiano wa kibalozi kati ya nchi na nchi. Aidha, kimesema kitaiandikia barua Serikali ya...
  18. K

    Je, ni busara serikali kuipatia pesa Precision Air?

    ...kaka umesahau mashirika ya uma yalikatazwa kununua hisa ama.......usilaumu hapa ilipofikia laumu ilipoanzia..kama serekali iingekua na maono wangenunua hisa kama walivyofanya serekali ya kenya kwa KQ na leo tusingekua na mwarabu anayetaka kuwekeza kwenye shirika letu la ATC cjui kama unayaina...
  19. K

    Je, ni busara serikali kuipatia pesa Precision Air?

    Naona wengi mnaongozwa na hisia mpaka mnasahau kua ni wajibu wa serekali kusaidia mashirika binafsi yenye mchango kwenye uchumi wataifa.....ni jambo la kawaida kabisa!!! ila kwasababu mmekaa kukosoa kosoa all the time mna miss hata positive things that should be supported ........ Kwani Air...
Back
Top Bottom