Tusitumie kivuli cha dini ktk mambo ya michezo,nimefuatilia sana sijasikia pahala ambapo Murro alitukana dini ya kiislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo ukilipia gharama za bundle ulitakalo na ukitaka kubadilisha kifurushi kwa kutuma sms *150*50*5 unakaa muda mfupi tu wanabadilisha bila kupiga simu, now days imekuwa kero, unawapigia simu hawapokei mapema mpaka inakata, unarudia tena inafikia hadi dakika nne ndo wanapokea, cha kujiuliza...
Sifa ya mtangazaji mwenye weledi na taaluma yake ni ku balance habari,clouds uwezo wao umebakia kwenye festivals,hawana tofauti na eFM
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Hamisi Kigwangwala si mtu mstaarabu,nakumbuka Akiwa Wizara ya afya ambako ndio maeneo aliyo somea,badala ya kutoa maelekezo kwa watumishi yeye alikuwa harsh sana,na kutowathamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ya mifuko ya plastic ni makubwa sana,tena marufuku hii imechelewa,tafiti zinaonyesha mifuko hiyo kuchangia uwezekano mkubwa wa saratani kuliko hata uchafuzi wa mazingira,Hongera January,unatuepusha na SARATANI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.