Search results

  1. J

    Escrow: Stanbic Bank kuchafua hali ya hewa

    sipati picha baba RIZ1 alijichotea shiling ngapi maana nahisi yeye hakubebea kwenye viroba bali buldoza
  2. J

    Escrow: Stanbic Bank kuchafua hali ya hewa

    nasikia wanaogopa kuweka wazi sababu mkulu wa kaya anahusika na hata watunga sheria kule mjengoni wameogopa kumwajibisha mkulu wa kaya maana serikali ingevunjika na wabunge wangekosa kiinua mgongo chao .
  3. J

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    si anaumwa huyu au kesha pona tayari!
  4. J

    Jimbo la Babati Mjini na kisa cha mbunge bubu Chambiri

    mmelisahau hili zoba la segerea linajiita Makongoro Mahanga kumbe jina lake halisi ni SIHABU OTIENO mkenya
  5. J

    Siamini kama rais Kikwete amekataa kuonana na vijana watatu wa Geita!

    nasikia kale ka ugonjwa kake (tezi dume) bado hakajapona ameshindwa kupata muda wa kuonana nao,labda akipona atawaita yeye mwenyewe! au kila akiiona bendera ya cdm anadhani ukawa wapo mlangoni tena kutaka mjadala wa katiba mpya ufufuliwe upya!
  6. J

    KKKT: Kikwete usiwaweke viporo Mafisadi

    si huyu huyu mkuu wa kaya pale dodoma sakata la richmond alisema haijui dowans wala wamiliki wake! inatia shaka kumkabidhi nchi mtu asiyeweza hata kujitambua!
  7. J

    Rais aweza kuwa mwizi?

    ukoo wa panya; baba mwizi ,mke mwizi ,watoto wezi hadi wajukuu wanatarajia kuwa wezi
Back
Top Bottom