Hello kaka pole sana na msiba uliokufika hasa katika mwezi huu mgumu wa ramadhan tunachoweza kusema ni Innalillah wainalillahi rajiuun:eyebrows: mimi ni mwana JF mpya fakih Abdul Together we can alone never you'll be.............................................!
Pamoja na yote nakukubaliana nanyi members jwa views zenu juu ya suala zima la uchaguzi safari hii kweli watu watatona roho mana huju kwetu madiwani washashikana mashati usiku wakigombea kuingia nyumba ya mjumbe mmoja ambaye hana upande wowote.............! After saying so my Comrades am Abdul...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.