Search results

  1. K

    Wafanyabiashara wa nyama Kagera wafungiwe leseni zao

    Tabia ya wafanyabiashara kulazimisha kuuza nyama bei kubwa kiholela,inatuasili sisi walaji. Kitendo cha wafanyabiashara hao kupuuza agizo la serikali kupunguza bei ya nyama na kususia kutoa huduma hiyo. Kwakweli serikali inatakiwa kuwafungia leseni zao kwa sababu sisi walaji ndio tunaoumia.
  2. K

    Kwanini wanaume wana upungufu wa Nguvu za kiume?

    Jamani mimi sio Mwanasayansi ila ni mtafiti wa kienyeji kuhusu mapenzi.nimegundu kwamba sababu ambazo zimeongeza tatizo la upungufu wa Nguvu za kiume niuvaaji wa Nguo za nusu uchi kwa wanawake. Zamani kuliona paja la mwanamke ilikuwa shughuli hivyo iliongeza mvuto wa mwanamke kwa mwanamme...
  3. K

    Swali kwa Pasco wa JamiiForums na wapambe wenzake kuhusu mtu wao anayetaka kwenda Magogoni

    ukiona mbunge,diwani, vitongoji wanashangilia ushindi mara nyingi hushangilia kwamba wamepata nafasi ya kuiba.afu wananchi huwa na huzuni.
  4. K

    Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

    Kwanini watendaji wa kata na wakurugenzi wanatumia madaraka yao kupokonya haki ya wengi?je hawakujiandaa na vyama vingi vya siasa nchini?navyoona mimi hawa watendaji hawajui nafasi waliyonayo na wajibu wao kazini.wamekuwa wakitumiwa na chama cha magamba kupokonya haki ya wengi kidemokrasia,hii...
  5. K

    Jamani mbona wanawake siku hizi wamekuwa na makalio makubwa?

    wewe kikulachochako hii si sehemu ya kujadili siasa,huku tunajadili mahaba.kwanza huku umeingiaje?
  6. K

    Jamani mbona wanawake siku hizi wamekuwa na makalio makubwa?

    Tofauti na Zamani, idadi ya wanawake kuwa na makalio makubwa imeongezeka kwa kasi kubwa sana mnamo miaka hii 2000 mpaka 2015. Imekuwa kero kwetu sisi wapenda mahaba ya dhati, hawa wanawake hawajui hata kukatika, muda mfupi tu anakuambia bebi nimechoka. Jamani makalio sio fashion.
  7. K

    Jeshi latawanya wapinzani Tanzania

    sema polisi bwana!!!!!
  8. K

    Gesi yaanza kutumika Tanzania

    labda gesi ya samadi!!!!!
  9. K

    Polisi yafyatua risasi, mabomu ya machozi Ubungo kuzuia vurugu

    marire soma habari hapo juu uelewe?
  10. K

    Chenge ajiuzulu nafasi ya uwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti

    huyu jamaa tulisha mchoka tangu kipindi kile cha richmond
  11. K

    Paschal patrobas katambi mbunge wetu wa Kahama mjini 2015

    hizi kazi nzuri za mwenyekiti wa BAVICHA
  12. K

    Polisi yafyatua risasi, mabomu ya machozi Ubungo kuzuia vurugu

    mh?nguvu ya uma si mchezo.
  13. K

    Polisi yafyatua risasi, mabomu ya machozi Ubungo kuzuia vurugu

    jamani kwa aliyetazama taarifa ya habari ITV,imenishitua kidogo kwa yule mwenyekiti wa ccm anaedaiwa kuwa hakushinda uchaguzi wa serikali za mitaa kuja kuapishwa na hatimae wananchi wenye hasira kali kumzuia kuingia ukumbini na kuanza kumshushia kipigo kama mwizi.mungu saidia akakimbilia kwenye...
  14. K

    Heche ameondoka na BAVICHA?

    Acha waseme patrobas ni jembe.mbona vijana tunamkubali.juzi alikuwa kahama tumemwona anaweza.
  15. K

    Wapiga kura serikali za mitaa walikuwa milioni ngapi?

    Naombeni msaada kwa mwenye takwimu sahihi ya waliopiga kura nchi nzima serikali za mitaa na vitongoji.itakuwa vyema ukiweka na idadi kamili yawapiga kura nchi nzima .
  16. K

    Hivi Kahama ina majimbo matatu kwa sasa?

    Jamani kuna tetesi kwamba jimbo la kahama litakuwa na majimbo matatu ambayo ni msalala,kahama mjini,na ushetu.je hili linalozungumzwa mtaani ni la kweli wadau?naombeni msaada.
Back
Top Bottom