Search results

  1. K

    Baadhi ya wanaume wanatabia ya kueleza mapungufu ya wake zao kwa michepuko

    Ulaaniwe wewe unaependa michepuko na ukifika huko ili uwekwe moyoni,unamsengenya na kumkandia mkeo/mumeo au partner wako nimecheka. Hii nimeikuta sehemu" rafiki siwezi kukwambia mumeo anacheat au la, lakini mi bwanawangu alikua na hiyo tabia ya kunisimulia kasoro za mpenzi wake wa zamani. Yani...
  2. K

    Why other women looking attractive?

    Husbands: The reason why other women look attractive is because someone is taking good care of them. Grass is always green where it is watered. Instead of drooling over. The green grass on the other side of the fence, work on yours and water it regularly. Any man can admire a beautiful woman...
  3. K

    Haya ndiyo maneno ya Flora Mbasha kwa mumewe

    Flora Mbasha afunguka mazito mpaka mengine hayawezi elezeka kuhusu mumewe Mbasha, ni hatari sana nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa na mume wangu.Kwa zaidi ya miaka8 na hata sasa bado anaendeleaje, Kwani hata kuongea uongo kwenye...
  4. K

    Meseji nzito ya Valentines

    Adulterous Affairs Don't Begin with Sleeping Together; they begin with inappropriate friendships. Friendship and emotional attachments with people of the opposite sex can spell danger for your marriage. Protect your marriage by avoiding private communications and intimate conversations with...
  5. K

    bad company corrupts....

    kuna msemo wa wazungu unasema "bad company corrupts good behaviour". mimi naona hii ni kweli asilimia nyingi hasa kwa watu wasio na msimamo mkali na tabia na sheria za nini wafanye na marufuku kufanya katika maisha yao ya kila siku. je unaona huu msemo ni wa kweli? na nini kimeshawahi kutokea...
  6. K

    Be careful

    You are dating a married man with kids, you are the reason his wife sleeps late at night, waiting for him to come home late, you are the reason his wife cries every night, you are the reason he does not come home to his family, you are reason he does not take care of his family, you are the...
  7. K

    So, so very painful

    Yaani kupenda mtu ambaye hakupendi kivile au kiasi hicho hicho inauma sana, maana uwepo wako au kutokuwepo kwako vyote kwake vitakuwa sawa tu, saa nyingine utaonekana kero tu bila sababu. Fikiria una mtu wako mko mbalimbali, umepata nafasi ya kwenda kumuona, unamuambia anasema sina hela ya...
  8. K

    Neno muhimu na la ukweli sana

    A married person must be very cautious about having a friend of the opposite sex. Ideally your spouse should be your best friend. Pouring out your heart and sharing your emotions and feelings with someone of the opposite sex other than your spouse is emotional unfaithfulness; it displaces...
  9. K

    Acheni habari zenu

    Ishu ya kuhalalisha tabia mbaya kwa kivuli kuwa ni nature ya jinsia fulani mkome! ni tabia binafsi tu na ushetani wako. mkome kabisaaaaaaaa kuisingizia nature, nature iachie misitu, bahari,milima na ardhi. Binadamu hakuna mambo ya kusema eti wanaume ni kawaida yao kufanya hili mara lile,mmeumbwa...
  10. K

    Kwenu Mabinti

    Mabinti hakikisheni mnawachunguza kwanza sana wapenzi wenu kama wanawapenda kiukweli kabla ya kufika mbali. Ndio najua love is blind,ila for your future usiangalie vitu juu juu kuwa labda sasa anakuumiza sana, anakucheat, anapenda sana kampani za wanawake wengine, haoni thamani yako hata kidogo...
  11. K

    Yaani

    kuna watu wakijua wenzao wanawapenda ile kufa, yaani ni wataleta mapozi, visa vizito, kususa, kutishia vibuti na mengineyo. mscheeew
  12. K

    Kitu gani mpenzi wako kakufundisha ambacho hukutegemea kutoka kwake?

    Kitu gani mwenzi wako amewahi kukufundisha ambacho haukutegemea kutoka kwake?
  13. K

    Usiposikia shauri yako

    wewe binti ambae mume wa mtu anakuja na kujifanya kukulalamikia matatizo kati yake na mkewe na kumpaka kwako ili wewe ujione ndio wewe usidanganyike,jua huyo ni kimeo tu ni njia ya kuitengeneza saikolojia yako kua wewe ndo bora kumbe umeliwa. ukiona hivo kimbia kwa spidi kali kadri miguu yako...
  14. K

    Usimuamini

    Usimuamini bwana au bibi anaejifanya eti ana uhusiano wa karibu na aliyekuwa ex-boyfriend au girlfriend. Wabaya sana hawa watu kwa asilimia 90% kuendeleza mawasiliano ya karibu. Usimuamini bibi au bwana atakayehalalisha ushirikiano kama biashara na mawasiliano ya karibu na mtu aliyekuwa...
Back
Top Bottom