Search results

  1. L

    Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    Siyo kuwa haiepukiki, ni mahaba aliyonayo ndani ya moyo dhidi ya timu yake pendwa
  2. L

    FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Hawakuruhusiwa kumwaga chaki kwenye Kona?
  3. L

    Walichokifanya Yanga kwa Simba sio sahihi

    Kama ni hivyo yanga wazalendo, maana wanalalamika kupewa chakula chenye sumu
  4. L

    Team za Yanga na Simba wachezaji baadhi wanategemea ushirikina kwenye mechi za nyumbani

    Si muumini wa mambo hayo, mkikutana kwa mganga wote wachawi.
  5. L

    Siamini Simba walimaliza na alama 13 juu ya Al Ahly alama 8 na hawakujitapa hivi?

    Wanahitajika walimu wa historia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. L

    Mgunda atatuvusha Afcon, Sina Shaka nae

    Ni ngumu kupata mganga kule, angalau mgunda atatusaidia
  7. L

    Yanga inahitaji ipate mtu kama Mayele, Simba Ina hitaji impate kama nani?

    Kumekuwa na maneno kutoka kwa wachambuzi na wdau mbalimbali wakidai kuwa yanga Ili itoboe kwenye makundi nilazima wapate mtu kama Mayele, vipi kuhusu mahasimu wao Simba?
  8. L

    Oscar oscar: Kila timu ikimkamia sana Yanga lazima ishuke daraja

    Stand united na Mwadui hao vipi?
  9. L

    Watu hukiri kwa vitendo: Kumfunga Simba ni kufunga dude kuubwa sana

    Walianza na historia, wlipo kumbushwa kuwa walisha wahi pigwa 9 wakaruka kuwa wakati huo waliku ni malki, leo wanakuja kivingine
  10. L

    FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    Hakuna mechi hapo Simba anajipigia za kutosha wame invest hapo.
  11. L

    GSM aiwekea Prisons milioni 25 dhidi ya Simba

    Hivi kama timu haina uwezo hata iwekewe bilioni haiwezi kushinda. Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
  12. L

    Inakuwaje waandishi wa Biblia waliendelea kuandika hata baada ya kufa? Mtu kafa na kuzikwa halafu bado anaendelea na simulizi

    Biblia kama kitabu kiliandikwa baadae sana baada ya kifo Cha kristo. Kabla ya hapo watu walirithishwa historia ya ukombozi kwa njia ya mapokeo. Hata hivyo walikuwepo waandishi walio andika habari za manabii kwakuwa karibu nao au kutumia taarifa za mapokeo. Sent from my Redmi Note 8 Pro using...
  13. L

    ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

    Vipi saidoo? Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
  14. L

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Watawala wanajua kututumia, leo kwakuwa TEC wame challenge Serikali limeibuliwa hili, kesho bakwata waki challenge Serikali linaibuliwa lingine. Hii yote ni kwakuwa watanzania hatupendi kufikiri ndiyo maana hoja dhaifu zinatumika kufunika hoja nzito. Sent from my Redmi Note 8 Pro using...
  15. L

    Amina Kyando amezingua au? Anasakamwa kila kona

    Issue siyo kulalamika, ni jinsi tifua tifua ilvyo jaribu kuwafichia aibu simba isionekane ni timu dhaifu kwenye mashindano. Kama wangetolewa Jana si ajabu Azam wenge jipigia jamvi la wageni Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
  16. L

    Rekodi za Yanga kuruka ukuta mechi za dabi inatisha

    Watu waliingia kwa makalio bado wakachezea sembuse kubadili mlango. Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
  17. L

    Sakata la Fei Toto, Yanga inachekesha na kusikitisha

    Unaumiza akili yako bure, hii vita siyo ya Feisal na yanga, ni vita ya waliompa pesa Fei apambane na muajiri wake. Hii hanatofauti na vita ya Ukraine vs Russia. Wamemrubuni dogo kwa pesa, yanga wametegua mtego, kumdai dogo pesa hawawezi. Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
  18. L

    Nitasimama na SIMBA yangu daima

    Sopu anakaba wenzie Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
  19. L

    Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

    Mganga rada hazisomi Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom