Search results

  1. JOKA55

    Mwanga: Prof. Maghembe kwisha habari yake!

    Jana wagombea wa CCM katika nafasi ya Ubunge na udiwani jimbo la Mwanga walikua wanajinadi kuomba kupigiwa kura itakayofanyika tarehe 1 August. Walikua eneo la Kisangara na alichoambulia Maghembe kuzomewa, huku wenzake wakishangiliwa sana. Alivuruga aliposema mradi wa maji kutoka Nyumba ya...
  2. JOKA55

    Tanzania kama nchi tuna nini cha kujivunia?

    Amani kwenu Tanzania ni nchi kubwa, utajiri wa kutosha na watu wenye akili nzuri wapo. Tuna vyuo vizuri sana kama UDSM, ni kati ya vyuo vinavyoheshimika sana Afrika, tuna chuo cha kilimo pale Morogoro nacho ni kati ya vyuo bora vya kilimo Afrika. Tuna chuo cha St. Augustine na matawi yake yote...
  3. JOKA55

    Kwa wanayoyatenda hawa wanasiasa Mungu kweli yupo?

    Nina rafiki yangu ni msomi wa Falisafa, anasimulia kuwa kipindi anasoma masomo hayo pasua kichwa pale Morogoro, siku moja muhadhiri aliingia darasani na mishumaa akaiwasha na akawaambia wanafunzi "jamani tuko katika maombolezo Mungu wenu mnayemuabudu amekufa" kila mtu alishtuka na walikaa mkao...
  4. JOKA55

    Wapigania uhuru wazalendo walikua kweli na ndoto ya Tanzania kama hii?

    Katika vyou mbalimbali vya kijeshi na vya kawaida kuna kozi inayoitwa Hermanurtics katika somo hili wanafunzi wanatakiwa kuchambua kazi fulani na kupata mawazo msingi ya mwandishi/mtunzi/msanifu wa kazi fulani. Inaweza ikawa matamshi ya mtu fulani, hotuba, kazi fulani ya kijeshi, ya kiulinzi...
  5. JOKA55

    Hivi bado Waafrika hatujaingizwa katika kundi la viumbe wenye uwezo wa kufikiri?

    Friedrich Hegel (August 27, 1770 – November 14, 1831) mwanafalisafa wa kijerumani alishawahi kuchambua uwezo wa binadamu duniani na katika uchambuzi wake sisi waafrika (kusini mwa jagwa la sahara) hakutuweka katika huo uchambuzi wake na alidai kama kuna uwezo wa kufikiri hata kidogo basi itakua...
  6. JOKA55

    Kuna muunganiko gani wa kijasusi kati ya Serikali na Kanisa Katoliki?

    Heshima kwenu wanajamvi Napenda kuleta kwenu hii hoja tusaidiane kuelimishana, Nimesoma na jamaa mmoja kwa sasa ni Padre wa Shirika fulani ndani ya Kanisa Katoliki, huyu bwana kipindi tuko shule hakua mwanadini sana wala hata katika siasa hakuwa mpenzi sana yeye alikua mtu mkimya ila akiamua...
  7. JOKA55

    Kinachotokea nigeria na kenya hakiwezi kutokea tanzania?

    Wanajamvi harini ya Pasaka............... Uhasama uliopo kati ya wanaigeria, Waislam na Wakristo ni wa kihistoria na mara nyingi umekua ukipaliliwa na viongozi wa nchi kutegemea na vionjo vyoa vya kiimani, kuanzia mapinduzi ya mara kwa mara, vita zisizoisha na mbaya kama ile ya Biafra miaka ya...
  8. JOKA55

    Nchi ilivyo: Uzalendo unakosekana kwa ni mkuu wa kaya au ni washauri wake?

    1 Nchi hii imekua kama haina mwenyewe, Ajira shida, huduma za jamii shida, ulinzi na usalama nao shida siku hizi tunashuhudia mambo mengi yanayotishia usalama wa nchi na raia wake ila tunaona wahusika wanaendlea na maigizo kama Isidingo mambayo hayana mwisho. 2 Alibino wanauawa, ajali mbaya...
  9. JOKA55

    Kilichojificha nyuma ya pazia: Barabara ya Arusha Musoma!

    -- Kilichojificha nyuma ya pazia katika hili: Hoteli nyingi zenye hadhi ya kitalii jijini Nairobi zinamilikiwa na Kampuni za KIjerumani na Kiisrael sasa wegeni wengi wanafikia hoteli hizo wakidanganywa kuwa Tanzania hamna miundo mbinu bora ikiwemo hoteli na barabara viwanja vya ndege. -- Ujenzi...
  10. JOKA55

    Viongozi wetu wa sasa wana muda kweli wa kujisomea?

    -Katika maktaba ya chuo nilichosoma kuna section ya maandishi mbalimbali ya baba wa taifa, mwalimu jk nyerere hata aliweza kutafsiri injlili katka biblia (commentary) nilipenda sana kusoma kazi za waandishi wa kiafrika na wangi walikua ni viongozi wa juu wa serikali mbalimbali ndani ya bara letu...
  11. JOKA55

    UKAWA, tutafakarini kwa pamoja haya

    Jamani habari za weekend............... Mimi siipendi ccm kuliko mugabe asivyopenda nchi za magharibi........... Lakini tasaidiane kujibu hoja hizi nilizokumbana nazo, kwamba vyama vinavyounda ukawa vinapata ruzuku kubwa kwa pamoja si chini ya 1bil kila mwezi, lakini sasa matumizi yake vipi...
  12. JOKA55

    Ukawa, tutafakarini kwa pamoja haya!

    Habari za weekend wadau............... Mimi siipendi ccm kuliko hata mugabe anavyozichukia nchi za magharibi na watu wake. - ila nimeulizwa haya, naomba tushirikiane kuyajibu cdm, cuf na nccr (ukawa) wanapata ruzuku kubwa si chini ya 1 bil kila mwezi kwa jumla lakini sasa: -- kwa nini vyama...
Back
Top Bottom