Search results

  1. Pumigogolo

    Nini Maana ya ndoto hii?

    Kuna mtu ameniambia ameota ndoto kwamba ameumwa na nyoka mdogo na mguu wake umevimba sana. Nini maana ya ndoto hii?
  2. Pumigogolo

    Askari wakikagua magari badala ya kuuza stika tu ajali zitapungua

    Kila ifikapo Julai Mosi Askari wa Usalama Barabarani huanza kampeni ya uuzaji wa stika. kila mwenye gari hutakiwa kununua stika hizo bila ya magari kukaguliwa! Kwa mwaka huu wa fedha wakati magari binafsi yaliuziwa stika kwa tsh. 3,000/= magari ya abiria yaliuziwa stika za tsh. 5,000/=. Uuzaji...
  3. Pumigogolo

    Kuchagua kazi hali huna kazi

    Kuna watu wana tabia ya kuchagua kazi wakati hawana kazi, kisa wanataka kazi walizosomea tu, au wanazodai zinalipa, wakati wanaweza kufanya nyingine, wananikera sana. Tena utakuta wakati mwingine kazi wanayoidharau ndo anayofanya mtu wanayekaa ndani ya nyumba yake, kulalia kitanda chake na kula...
Back
Top Bottom