Search results

  1. I

    FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

    Kwanini waamuzi wengi hupenda kuibeba simba?ikifanya faulo refa anajitia hajaona, Ikistahili penati kwenda goli la simba refa anapotezea.. Ikitokea mchezaji wa simba akiguswa tu eneo la karibu ya boksi la mpinzani refa anasema ni faulo! Nyie hamjaliona hili?
  2. I

    Je, Simba wataweza kuvuka makundi?

    Simba kuvuka?.Nimekaa paleee
  3. I

    Wito kwa Askari Polisi Barabarani tunaomba yule Dereva wa gari ya Simba SC anyang'anywe leseni yake

    Dereva alikua akifuata maelekezo toka kwa maboss zake wa ngazi za juu
  4. I

    Kinyumenyume FC

    Hujamaliza wameloga uwanja siku 7 nayo ni kama haikufaa kitu! Nasubiri kusikia zaidi kutoka kwa ahmad ally
  5. I

    Double strikers bado inabaki kuwa silaha muhimu Yanga

    Za ndani mara wanasema alitofautiana na mwalimu na kwamba wamegawanyika mwalimu hamtaki baadhi ya viongozi wanamtaka
  6. I

    Double strikers bado inabaki kuwa silaha muhimu Yanga

    Hapo anafanya sub si kana kwamba wacheze wote
  7. I

    GOLI LA MAMA: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF

    Hapo Yanga wiki hii tunaenda kuvuna 15 million
  8. I

    Double strikers bado inabaki kuwa silaha muhimu Yanga

    Nilishalisema hapa huko nyuma na bado nitaendelea kusisitiza, kumtegemea Fiston kule mbele peke yake kutaendelea kutughalimu mpaka kuja stuka tutakua tumechelewa sana! Kuanzia hapa nyumbani na hata nchi jirani pia nchi nyingi za ki afrika Mayele anajulikana kwa vurugu zake na hatari langoni mwa...
  9. I

    Mpira wa Tanzania kila shabiki wa Yanga ni kocha

    Na tukisemaga 'hapa kocha lazima amtoe Kisinda na Moloko' mara nyingi hutokea Nabi nae hufanya hivyo na kuwaingiza wale tulioona wanapaswa kuingia Hivyo sisi si wajinga tunaelewa,shida ipo benchi la ufundi kirudia rudia makosa
  10. I

    FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

    Huyo Doumbia amekuja kufanya nini? Beki yetu ina shida ktk kucheza kross, Bangala nae nafasi ya beki hapo mara nyingi nae huchomesha
  11. I

    FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

    Wote hao hamna kitu bora hata chizi wetu Benard
  12. I

    Yanga SC kwa mpira huu kwa mashindano haya hatutoboi

    Nani acheze butua butua ww? Ni mipango mibovu ya mwalimu na kukosa winga za uhakika, kumweka single straiker, Mayele kukosa umakini ktk kufunga.
  13. I

    SportPesa yaonyesha uwezekano wa Yanga kufungwa na US Monastir ni mkubwa

    Yanga hii kufungwa kwake ni kugumu mno tena mno nyinyi wenyewe mashahidi
Back
Top Bottom