Search results

  1. MAMA POROJO

    Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Pont kana CCM wamekosea wataja jina la mgombea sahihi kati ya 71 kama sio DR TULIA
  2. MAMA POROJO

    Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    DR TULIA NI SAHIHI KABISA NA ATAPITISHWA NA BUNGE.
  3. MAMA POROJO

    Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

    JAMBO LA SITA wateja tunaumizwa unapiga simu kabla ya kupokelewa huku bado simu inaita unakuta pesa zako zimeanza kukatwa. Nakumbuka kuna siku nimepiga simu nimesubiri dakika 200 yaani dakika takribani 3 ndio ikapokelewa. Muda wote wa dakika 200 umechukuliwa wakati nilikuwa sijaanza kuongea na...
  4. MAMA POROJO

    Hongera Rais Magufuli kwa kuhimiza watu wa Iringa wajikinge na UKIMWI!

    Ndio sababu tunasema wapinzani wanahangaika kila kukicha kumsaka Magufuli wapi kwa kumkosoa huku majimboni mwao kuna shida zinawakabiri wapiga kuta wao. Ningetegemea mbunge kanisumbua serikali kila kukicha amsaidie kupeleka dawa na wataalam wa kuelimisha kuzuia ukimwi
  5. MAMA POROJO

    Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Waraka wa chadema umepenyezwa kupitia kwa Askofu mkuu SHOO wa kutoka Kilimanjaro
  6. MAMA POROJO

    Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Askofu mkuu SHOO ndio kahongwa na mchaga mwenzake Mbowe analisaliti kanisa kama YUDA ESKALIOTI alivyomsaliti Yesu kwa fedha
  7. MAMA POROJO

    Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Uzi huu unahusu mvutano wa KKKT najaribu kueleza chanzo cha mvutano KKKT
  8. MAMA POROJO

    Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Huyu kapewa fungu nono kageuka ametakatishwa
  9. MAMA POROJO

    Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Chadema wamemkamata Askofu Mkuu SHOO ambaye zipo taarifa za uhakika kapewa fungu/fedha na chadema ambazo kazitumia kuwanunua baadhi ya maaskofu ili waunge mkono waraka ambao hauna baraka za maaskofu wote
  10. MAMA POROJO

    Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Kuna kundi la vijana limeandaliwa kumshambulia malasusa na kumsafisha Shoo ambaye katumwa na mbowe kuligawa kanisa kwa maslahi binafsi ya kisiasa
  11. MAMA POROJO

    Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Tatizo kubwa KKKT limetekwa na chadema na siasa. Kanisa linaongozwa na Askofu Shoo ni mchaga na Chadema kinaongozwa na mchaga Freeman Mbowe ambaye pia msharika au anasali KKKT Zaidi Edward Lowassa ni dhehebu hilo hilo KKKT. Katika uchaguzi wa 2015 Lowassa alikwenda KKKT kuwaomba wamchague kwa...
  12. MAMA POROJO

    Majeshi ya Tanzania na huduma za dezo

    . thread hii sio mimi nimetuma... ni mdukuzi
Back
Top Bottom