Search results

  1. medisonmuta

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Punguani hilo kila kitu kinachukulia kwa mtazamo wa kilokole.
  2. medisonmuta

    Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Sasa hapo hauelewi nini kwamba kajitoa muhanga msamehewe dhambi. Ndiyo maana kanisani mnaweka picha ya mzungu aliyevaa kichupi kuonesha alama ya kusamehewa dhambi. Mnachukua picha ya Robert Powell au Brian Deacon akili zilivyo ndogo. https://youtu.be/cKMy7YcfoQE?si=YuhJ4Bl94xS7r4g8
  3. medisonmuta

    Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Alijitoa muhanga ili msamehewe dhambi iliyofanikishwa na shetani. Waroma walifanikisha dili tendo jema la kuua. Wewe endeleza uzinzi na matusi ujidanganye dhambi zimebebwa na Yesu.
  4. medisonmuta

    Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Nilikata kuendeleza mjadala alivyoongea hiyo pumba. Ni vigumu sana kuwaelekeza watu ambao wanadai mungu alijitoa muhanga ili wasamehewe dhambi.
  5. medisonmuta

    Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Unaongea pumba. Biblia ipi yenye miaka zaidi ya 1000? Mkimezeshwa ujinga mnakuja kupayuku humu. Angalia biblia iliyokuwa inatumiwa enzi za utumwa ipo makumbusho ya USA. https://youtu.be/lvKUOuYn1-c?si=bHfwPO3sR84f2HYv
  6. medisonmuta

    Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Makafiri wanachukua vipande vya kwenye mtandao wanaunga hata aya hazipo. Ndiyo maana wenzetu wakisoma Quran huwa wanasilimu kwa haraka kutokana na uongo wanaoaminishwa mitandaoni kutoonekana kwenye kitabu.
  7. medisonmuta

    Moja ya sababu ya kuingiza somo la kiislam ktk tahasusi ni kuaanda mazingira lugha ya kiarabu iwe ya lazima kuanzia ngazi za chini hadi juu

    Angalia vitu ulivyokuwa hauelewi. Maarifa ya uislamu ni somo lingine na kiarabu ni somo jingine. Vitu viwili tofauti. Fuatilia hata ratiba za mitihani ya taifa ya nyuma utaona imeandikwa islamic knowledge kama somo na arabic language kama somo. Ombeni na nyie kwenye mtaala muwekewe hebrew...
  8. medisonmuta

    Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Wafuasi wa Brian Deacon au Robert Powell huwa wengi hawafungi wanasingizia kufunga siri. Kufunga itakuwa siri iwapo unajifungia ndani kwako.
  9. medisonmuta

    Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Hivi umeelewa mleta mada anazungumzia nini au wewe pia umekurupuka kujibu? Zamani anadai kulikuwa hakuna teknolojia ya kunyoa. Kwa akili yako, walawi wanaozungumziwa hapa wa karne hii? Babu zako walikuwa weupe kichwani hadi kuweza namna ya kunyoa nywele?
  10. medisonmuta

    Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Unaona ulivyokuwa zezeta. Itakuwa babu zako ndiyo walikuwa hawajui kunyoa nywele. Unazungumzia Yesu halafu unachanganya mara Africa kuwa primitive. Kuna sehemu ziliendelea Africa huyo Yesu hajazaliwa. Unajaza server kwa kuleta ubishi wa kizezeta ulete uthibitisho watu walikuwa hawanyoi. Yaani...
  11. medisonmuta

    Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Anasema zamani kulikuwa hakuna teknolojia ya kunyoa ndevu. Kwenye agano la kale inaonesha wanaamriwa wasinyoe ndevu. Atuambie unaweza kukatazwa kitu kisichowezekana kufanya kwa kipindi hicho?
  12. medisonmuta

  13. medisonmuta

    Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Tueleze hapa kwenye walawi walikua wakinyoa kutumia nini? Mnajaza server kwa kuandika pumba humu ndani. Walawi 19:27 BHN Nywele zenu msizikate pembeni wala kunyoa ndevu zenu.
  14. medisonmuta

    Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

    Baadhi ya nchi zilizohalalisha ushoga 1. Italy - Roman Catholic 2. Germany - Lutheran 3. USA -(SDA, pentecostal n.k) 4. Greek (Orthodox) 5. England (Anglican) 6. Israel (Zionist) Watu imefikia hatua hadi wachungaji wanataka kunyanduliwa. Utandawazi umeweka mambo mengi wazi kuondoa propaganda za...
  15. medisonmuta

    Wahindu wabomoa msikiti na kuua Waislam kadhaa

    Onesha hayo matusi mnayotukanwa. Shida yenu wakristo mmejaa unafiki. Hamtaki kuambiwa ukweli kwamba muachane na ukafiri. Humu jukwaani ukiangalia kati ya waislamu na wakristo nani wana matusi? Usifuate dini kama shabiki wa mpira. Manabii walichukiwa kwa kuhubiri Mwenyezi Mungu mmoja. Unadhania...
  16. medisonmuta

    Wahindu wabomoa msikiti na kuua Waislam kadhaa

    Ni kawaida hiyo. Hata manabii zamani walikuwa wanachukiwa kwa kubainisha haki na kukataza yaliyo batili.
  17. medisonmuta

    Ni ngumu Waislamu kuepuka mifumo ilionzishwa au inayohusiana na wakristo?

    Unazungumzia wakatoliki waliokusanya hadi biblia? Madhehebu mengine yalikuja baadae sana.
  18. medisonmuta

    Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

    Zanzibar wengi wahamiaji kule kutoka bara wapo pia. Arusha, Kilimanjaro na sehemu nyinginezo kesi za ushoga zipo kibao. Huko mikoani watu wanawaingilia hadi kuku. Wewe endelea kukaza fuvu kumezeshwa wimbo wa ukasuku Zanzibar wapo wengi wakati taratibu kanisa linawazoesha taratibu. Hizi zama za...
  19. medisonmuta

    Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

    https://www.google.com/amp/s/amp.cnn.com/cnn/2024/01/29/africa/pope-francis-addresses-pushback-from-african-bishops-on-same-sex-blessing/index.html
Back
Top Bottom