Search results

  1. WLF Tanzania

    Kabla hujawa mzazi, kuwa tayari kuwa mzazi

    Wanabodi, Imekuwa kawaida sasa kwa wazazi kuwa kazini muda mwingi zaidi ya nyumbani. Kinachofuata ni kupishana na watoto na kuacha jukumu la malezi kwa dada wa kazi. Mtoto anahitaji malezi ya mama na baba. Kumpeleka shule nzuri na kumnunulia nguo nzuri bila kuwepo katika maisha yake...
  2. WLF Tanzania

    Athari za kutoa mimba

    Ni kweli kabisa. Ndio maana wasichana wanashauriwa kuepuka ngono isiyo salama ili kutoishia kuwa na mimba zisizotarajiwa ambazo nyingi huishia kutolewa.
  3. WLF Tanzania

    Athari za kutoa mimba

    Wakuu, Utoaji mimba ni jambo hatari. Kuna wakati inabidi, lakini asilimia kubwa ya watoaji mimba ni wasichana wadogo, hasa walioko shule ambao wamejiingiza katika vitendo vya ngono mapema. Utoaji mimba unaweza kuleta madhara mengi, yakiwemo: Kuhatarisha maisha Kuharibu kizazi Kuwa katika...
  4. WLF Tanzania

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Huchukua takribani miezi minne hadi nane kwa mzunguko kuanza kurudi kawaida. Sindano huwa zinakatisha hedhi kwahiyo inakua ngumu kufahamau hasa ni muda gani unaweza kushika mimba lakini miezi minne ndio muda wa kawaida. Wakati mwingine inaweza kuchukua hadi miaka miwili baada ya kuacha sindano...
  5. WLF Tanzania

    Utayari kisaikolojia na kimwili kabla ya kujihusisha na ngono ni muhimu

    Maandalizi kisaikolojia yanawahusu wale wanaokwenda kufanya tendo la ndoa. Iwe ni mipango ya muda mrefu au mfupi. Kabla ya kufanya ngono na mtu yeyote kuna maswali ya kujiuliza na vitu vya kuweka akilini. Mfano, nini kitatokea baada ya tendo hili? Nikipata mimba (au mwanaume ajiulize msichana...
  6. WLF Tanzania

    Subira yavuta heri- ngono zembe yaweza kuharibu maisha yako, ngono salama ndio mpango

    Hiyo ni nzuri pia. Wengi walio kwenye mahusiano wanaipenda kwasababu wanasema inawaongezea ukaribu (intimacy), tofauti na pale wanapotumia mipira ya Kondomu. Lakini katika hii pia unatakiwa kuwa makini.
  7. WLF Tanzania

    Subira yavuta heri- ngono zembe yaweza kuharibu maisha yako, ngono salama ndio mpango

    Asante Saint. Nawe unaweza kuongeza ya kwako kwa kutoa ushauri
  8. WLF Tanzania

    Subira yavuta heri- ngono zembe yaweza kuharibu maisha yako, ngono salama ndio mpango

    Ni kweli kabisa. Na hii ndio njia pekee ambayo inakupa uhakika kwa asilimia mia kuwa hutopata magonjwa ya zinaa wala mimba zisizotarajiwa.
  9. WLF Tanzania

    Subira yavuta heri- ngono zembe yaweza kuharibu maisha yako, ngono salama ndio mpango

    Wana jamvi, Leo tumeona tuwakumbushane mambo kadha wa kadha kuhusu kujihusisha na ngono, hasa kama haupo tayari kuwa na mtoto. Kuna hatari kubwa ya kupata mimba unapojihusisha na ngono, lakini kuna njia nyingi za kujiepusha mpaka pale unapokouwa tayari. Baadhi ya njia za ngono salama/ kuzuia...
  10. WLF Tanzania

    Utayari kisaikolojia na kimwili kabla ya kujihusisha na ngono ni muhimu

    Habari wakuu, Kama tunavyofahamu, kila jambo na wakati wake. Tupo katika karne ya 21 ambapo vijana hujiingiza katika ngono wakiwa wadogo, wengi wao kabla ya miaka 18. kufanya hivi kuna hatari zake. Pamoja na kupata madhara kisaikolojia, hasa mahusiano yakivunjika na kutengwa na jamii (hasa kwa...
  11. WLF Tanzania

    Njia zinazoweza kukuongezea uwezo wa kupata mtoto

    Tunafurahi kuwa umepata ujumbe vema. Nawe upo katika njia hii (unahitaji mtoto?)
  12. WLF Tanzania

    Njia zinazoweza kukuongezea uwezo wa kupata mtoto

    Wadau, Sote tunapenda watoto. Watoto ni lulu. Watoto ni zawadi. Watoto ni furaha, hasa akizaliwa katika wakati uliokusudiwa. Kwa bahati mbaya kuna wakati tunachelewa kuwapata kwasababu hatufanyi mambo fulani sawasawa. Dondoo kadhaa zaweza kukupa unachotarajia: Kwa wanawake, kudumisha...
  13. WLF Tanzania

    Kutoka Kigoma: Elimu ya uzazi wa mpango yaendelea kutolewa

    Wadau, Elimu ya uzazi wa mpango bado haijamfikia kila mtu, kuna jitihada za makusudi zinazofanyika na watu binafsi, mashirika pamoja na serikali ili kuendelea kueneza elimu hii. WLF kupitia kampeni ya Thamini Uhai nayo haipo nyuma, wahamasishaji jamii kutoka Kigoma wanatuhabarisha jinsi...
  14. WLF Tanzania

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Wadau, Katika kuendelea kuelimishana na kusisitiza uzazi wa mpango, leo tumekuletea mambo yanayothibitisha kuwa kuzaa kwa mpangilio kuna faida, hasa kwa wanandoa. Wanandoa wanaotumia njia mbalimbali za uzazi wa mpango: wana muda wa kutosha kuwa faragha kutokana na kuwa na watoto wachache...
  15. WLF Tanzania

    New campaign launched in Kigoma to promote benefits and use of family planning

    *In collaboration with the Ministry of Health and Social Welfare and EngenderHealth, World Lung Foundation expands Thamini Uhai (Value Life) campaign to promote family planning* (May 25 2015, Dar es Salaam and New York) – The Ministry of Health and Social Welfare of Tanzania and World...
  16. WLF Tanzania

    Community health workers support new family planning campaign in Kigoma

    *Trained community health workers working with Thamini Uhai (Value Life) campaign to promote the benefits of family planning* (16 June 2015, Dar es Salaam and New York) – A news conference in Kigoma today highlighted the vital role of community health workers in encouraging couples to use...
  17. WLF Tanzania

    Takwimu za Utumiaji wa njia za kuzuia ujauzito kwa wanawake Tanzania

    Grafu hapo juu inaelezea, wanawake walio kwenye ndoa kuanzia umri wa miaka 15-49 na matumizi ya njia za kisasa za Uzazi wa Mpango. Grafu hii inaonyesha kwa Tanzania asilimia zinaongezeka japokuwa ni kwa taratibu sana. 1991-1992: Asilimia 7 tu ya wanawake kwenye ndoa ndio walikuwa wanatumia...
  18. WLF Tanzania

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Wadau, Kila mara tunasikia Uzazi wa Mpango, na kwamba ni bora na salama kwa afya ya mama na mtoto na kwa manufaa ya Familia. Baadhi ya manufaa hayo ni; 1. Inasaidia mama kurudi hali yake ki afya ya awali. 2. Inasaidia kulea watoto kwa urahisi na kuwapa maisha bora. 3. Inasaidia mzazi kufanya...
  19. WLF Tanzania

    WORLD LUNG FOUNDATION yazindua kampeni ya kuhamasisha uzazi wa mpango mkoani Kigoma

    Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Cosmas Swai, akizindua kampeni mpya ya kuhamasisha Faida na Matumizi ya Uzazi wa Mpango jijini Dar es Salaam jana, kampeni itakayotekelezwa mkoani Kigoma. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la...
  20. WLF Tanzania

    Kampeni mpya yazinduliwa Kigoma kuhamasisha faida na matumizi ya uzazi wa mpango

    KAMPENI MPYA YAZINDULIWA KIGOMA KUHAMASISHA FAIDA NA MATUMIZI YA UZAZI WA MPANGO *Kwa kushirikiana na WIzara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja na EngenderHealth, World Lung Foundation inapanua kampeni yake ya Thamini Uhai ili kuhamasisha uzazi wa mpango* (May 25 2015, Dar es Salaam na New...
Back
Top Bottom