Search results

  1. mundo

    Duuu...! Enzi hizo...bora turudi zamani...!

    Enzi hizo majeneza yalikuwa mpaka mtu afe ndo linachongwa lakini siku hizi dah majeneza kila kona na viwango kama magari.
  2. mundo

    Duuu...! Enzi hizo...bora turudi zamani...!

    Enzi hizo story za denda zilikuwa dili, vitu kama hug na kisses sio kisaaana, mambo mtwango tu, lakini sasa vijana dhaifu mbwembwe nyingi issue kidogo.
  3. mundo

    Tundu Lissu afunguka bungeni

    Mbona mnatunyanyasa sana Matechnician hata sisi hatukubali.
  4. mundo

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

    Mimi nadhani si suala la viongozi, nadhani issue kwa kuwa wengi ni mafisadi kwa hiyo watu hawataki watoto wa mafisadi maana nao wana reflect image ya wazazi wao. WATOTO WA MAFISADI HAWATAKIWI!
  5. mundo

    Kwa uteuzi wa Masele, Hakika sasa nimeamini Familia ya Kikwete ina Hisa kwenye Madini

    Mwanasheria wa VODA naye alikuja kuwa waziri!
  6. mundo

    Wabunge waomba Bunge la Dharura kama JK asipowawajibisha mawaziri

    Mbona mlisema Raisi yuko Dodoma na sasa mnasema hana Taarifa?
  7. mundo

    Kikwete anavyotamba na mawaziri wanaotakiwa kujiuzuri nchi za nje

    Mimi naona Hilo ndo vazi la Taifa lililopitishwa!
  8. mundo

    Bunge kuahirishwa kesho Jumamosi kuepuka aibu ya kufika j3 kisa saini 70

    ukitaka kujua jina lake fanya kama unatuma m-pesa ktk voda, ama tigo- pesa ktk tigo, ila weka kiasi cha pesa ambacho kinazidi pesa ambayo unayo ktk simu yako, message itabounce kuwa huna hela ya kumtumia mtu xxxxyyyy na jina utakuwa umeshalifahamu.
  9. mundo

    Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

    Nadhani hata Mzee Shimbo anawasikia!
  10. mundo

    Serikali ya JK inamiliki magari worth 5 trillion!

    Alikuwa ni mzee mmoja aliyekuwa mbunge wa Biharamulo - Kagera(ccm)[ Phares Kabuye] , baadaye wakamchakachua kura za maoni akahamia upinzani na akashinda tena, miaka miwili mitatu iliyopita nadhani walimchakachua wakati anakuja Dar ktk mkutano wao mkuu akapata ajali ktk bus. kumbukumbu zangu...
  11. mundo

    Ni sawa kwa Mama Tunu Pinda?

    Hata kama alikuwa na kazi nyuma, mwenzako akipata cheo kama hicho unatakiwa kuwa nae bega kwa bega maana ndio kazi yako kumfanya aweze kufanya kazi vizuri
  12. mundo

    Hii ndiyo hali ya mfumo wa afya Tanzania - Jionee tulivyo katika hali ngumu

    By NgumiJiwe Kulikuwa na Prof Mkoni pale muhimbili,kama kumbukumbu zangu ziko sawa,naye pia ni urologist Naye yumo katika hiyo idadi..vp unadhani itabidilisha picha yote?
  13. mundo

    Hii ndiyo hali ya mfumo wa afya Tanzania - Jionee tulivyo katika hali ngumu

    Mzee MMK hii kauli unaipenda sana" kuwa serikali hii imechanguliwa na wanachi hawa" hivi ndani ya mioyo ya waTanzania katika watu wawili jaribu kuuliza nani alimchagua nani.....watu wanauchungu sana.! lile vugu vugu la uchaguzi halikuwa bure ndugu yangu..mimi nakuomba ACHA kusema hiyo kauli...
  14. mundo

    Paypal registration

    Ni hii barclays VISA electron ya blue in colour( mine is person account)...ingawa sasa hivi wana upgrade yake, hakikisha una pesa ambayo inaweza kutoka maana wana charge equivalent ya USD 1.95 ambayo watarudisha ukishaverify baada ya kuingiza four digit secret code zitakazokuwa kwenye hiyo...
  15. mundo

    Tazama yesu anavyoweza kufanyakazi

    Halafu mbona ana insist kutuma sms, asije akawa ame hide short code ambayo anakula ile fees kidogo kidogo ndio maana ame spam kila sehemu!
  16. mundo

    Paypal registration

    CRDB wanazingua sana..unaweza fanya yote hayo lakini inakuwa ngumu,,,nimefanya na Barclay's bank imewezekana mara moja tu
  17. mundo

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    ! Sasa Majimoto hadi bei hiyo umeijuaje mkuu naona uko juu zaidi ya tunavyokufikiria!
  18. mundo

    Kwanini wakandarasi wa kitanzania hawakui na kufikia kushindana ktk soko la nje?

    sawa nakubaliana na wewe ila nchi hii inaweza kuendeshwa na watu wenye Elimu kama hiyo na sivyo mnavyofikiria
  19. mundo

    Kwanini wakandarasi wa kitanzania hawakui na kufikia kushindana ktk soko la nje?

    wote mnajua ukweli lakini mnapindisha......ppra.....crb.....tender board za mashirika na taasisi......wasimamizi wa site na wakaguzi wa site.........changanya na zako?
Back
Top Bottom