Search results

  1. IAfrika

    Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Mbona Tanzania hawakuenda kwa mahakama ya EAC kama Uganda walivyo enda huko kuwasilisha kesi ya kutumia Kenya Pipeline kusafirisha mafuta yao? Haya maamuzi yao ni ya hasira na kitoto kulipiza kisasi hivyo.
  2. IAfrika

    USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

    Cheo chake ni gani? Anataka vita vya nuclear anafikiria vita vya nuclear vitakuwa one sided? Russia pia wanasema wako na hypersonic weapons ambazo marekani haiwezi kugundua angani.
  3. IAfrika

    Katiba ya shirikisho la Afrika Masharki

    EAC bunge na council wanajikokota kutunga sheria ya kuwezesha monetary union
  4. IAfrika

    Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    MCA watamkoromea gavana. Wabunbge na maseneta watamkoromea Rais. Maeneo bunge yote ni sawa, yako na idadadi sawa ya watu inchini. Ward pia ziko hivyo. Kaunti ndio tofauti kwa idadi ya watu na ukubwa lakini maseneta wako na kura sawa kwenye Seneti.
  5. IAfrika

    Tanzania yafikiria uwezekano wa kufuta mradi wa ujenzi wa Bomba la gesi kwenda Kenya kupitia mombasa

    Mambo ya enviromental activists wasio husiana na serikali hayo. Jibu la Serikali ambayo ilitaka bomba lipitie Kenya mnalingoja?
  6. IAfrika

    Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    Kila kiongozi ako jukumu lake la kikatiba. Ukubwa hatuujali vile ikiwa unatekeleza majukumu yako. Maseneta na Wabunge ni wawakilishi. Seneta anawakilisha county/gatuzi, mbunge anawakilisha eneo bunge. Gavana ni msimamizi mkuu mtendaji wa kaunti. Kunao pia MCAs wanawakilisha ward ambayo ni...
  7. IAfrika

    Tanzania is behind, Kenya, Uganda and Rwanda in East Africa innovation

    Mbele wapi? Waziri anashindwa kusoma kiapo
  8. IAfrika

    The number of registered engineers in Kenya is five times more than the number of registered engineers in Tanzania

    The only sad thing here is that we are still taking infrastructure contracts to foreigners
  9. IAfrika

    Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

    Washambuliaji wanne waliuawa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Kenya katika chuo kikuu cha Garissa ,lakini Rashid Charles Mberesero, na wenzake wawili walikamatwa na mwaka jana walihukumiwa kwa kuhusika katika ugaidi. Hukumu hiyo ilimpa bwana Mberesero kifungo cha maisha gerezani. Taarifa...
  10. IAfrika

    Somalia Yapiga Marufukuu Miruungi Kutoka Kenya

    Jayden's foreign policy is a total failure
  11. IAfrika

    Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

    Haya ndio mnataka tuige 😂😂 "Mwaka huu hakuna raha kwa sababu hata mimi sipati raha kwa mke wangu"- JPM Nov 16,2020
  12. IAfrika

    Planner of Nairobi US Embassy bombing assassinated

    🎵 Alekuma salaam... Kwake
  13. IAfrika

    Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

    Huyo jamaa wenyu ata overreact awafungie Watanzania mipaka wasiweze kuuza bidha zao Kenya na kuwaadhiri vibaya zaidi Watanzania
  14. IAfrika

    Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

    Amani sio utulivu tu. Tanzania tafuteni amani ya ukweli ya kudumu. Sio hii amani yenye mtu hawezi kutoka inje kusherekea ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi kwa sababu polisi atafikiria ni mfuasi wa kikundi cha kigaidi cha CHADEMA. Inasikitisha kweli, vile hapa inaonekana Watanzania...
  15. IAfrika

    Uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa hapa Afrika

    Damu iliyo mwagika ni mingi sana hata kama ni mtu moja ila tunajua ni wengi waliodhulumiwa.
  16. IAfrika

    Uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa hapa Afrika

    Hakuna cha kuiga hapo. Tutafuta mkondo mwengine sio huu wenyu. Huu wenyu haukuwa uchaguzi. Huyo Magufuli anataka kuishi echo chamber, sauti yake tu ndio anataka kusikia alafu ni wa kuzima mtandao. Anajua kuwa mtandao ni kitengo kikuu cha biashara siku hizi kweli?
Back
Top Bottom