Search results

  1. Mwana

    DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

    Really Really?n Eti biashara ya kimasikinimaanayake nini , ikiwa yakimaskini ndio akwepe kodi no way out Ndiomaana wazazi wao wakitoka nadarakaninwanaishimkwa tabu kwa kuzoea kubebwa.Anapaswa kulipa kodimkamammfanyanbiashara mwingine
  2. Mwana

    Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Nyie ndie kuina chanhu chako na changu nchangu, na mnadhihirisha waziwazi. Time will tell!
  3. Mwana

    Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Hebu tupeoutputs. Ninyi ndio mnaomaminiwatuwenye maneno mengi ndio wenye akili. Acually ni kinyumechake!
  4. Mwana

    Rais Magufuli alifanya mambo yasiyofaa na Rais Samia anarekebisha mabaya yaliyofanywa

    Nyamaza vyeti feki wewe. Tena alikosea angewa-sweka ndani kama sheria inavyosema ndio mngeshika adabu!
  5. Mwana

    Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Sasa wewe ni mama yako. Pole sana kwa kumvua mama yako umama. Mimi aslani!
  6. Mwana

    Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    inaonekana hujui maana ya Mama. Mwanadamu ana mama mmoja tu!
  7. Mwana

    Kwa hili Wamarekani wanatudharau

    wewe biden angekuja HATA ZIARA BINAFSI BARABARA ZINGEPIGWA DEKI KWA NDIMI. ACHA UINGO. KUJIPELEKESHA HUKO NI UJINGA KABISA,
  8. Mwana

    Rais kujali uzinduzi wa movie kuliko Siku Muhimu ya Muungano ni aibu kubwa sana

    Wewe jibu hoja iliyoletwa. Marehemu anahusikaje hapa. Naoma mnamuwaza mnamuota. Hebu endeleeni na mashia yebnu wewe elezea Rais mzima hayupo shughuli za Muungano wakati benefit za muungano anapeleka kwao wake up. Unless wewe nu=i wa uoande wapili nitakuelewa.
  9. Mwana

    Anayemtuma au kumtumia Wilbroad Slaa kuichafua CHADEMA hatafanikiwa

    Hoja ikitolewa mje na hoja nyie CHADEMA ndio maana kuchukua nchi labda miaka elafu moja ijayo!
  10. Mwana

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    I stand to be corrected ni kama alikwishatutoka!
  11. Mwana

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Siyo kwamba eti. Huo ndio ukweli kitabu kilikuwa kibaya sana kile hakikuwa na nmaadilki mpaka unamshangaa huyo aliyeandika!
  12. Mwana

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Mimi nilikisoma kitabu kile sababu si hizo bali hakikuwa na maadili!
  13. Mwana

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Neema mpaka kaburini John Rutayisingwa,
  14. Mwana

    Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

    Eti hatoai bahasha acha propaganda zako. Sasa walipokuwa anatoa bahasha ndio umeme ukawa unawaka?????? Huyo makamba wako afamnue kazi what we want ni umeme and nothing else. Akili ya panya ndio itaamini ni wivu. Huo uwaziri labda ungekuwa ufalme. Huo uwaziri wa siku mbili anapewa mwingine? huo...
  15. Mwana

    Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

    Hiki ni kitu kizuri lakini watafanikiwa tu endapo watamuacha hayati JPM to Rest In Peace maana wanaunganisha maji na mafuta hawatafanikiwa kamwe!
  16. Mwana

    Mapokezi ya Dkt. Tulia mkoani Mbeya yaweka rekodi

    Safi kabisa. Wagu waongo sasa hivi wanashindwa nini kuendelea na maisha yao. JPM kipenzi cha wengi hayupo haya endleeni na matozo yenu/ Let Him Rest In Peace.
  17. Mwana

    Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Hopless kabisa wewe huku swaiba yako anenjoy tu na midege aliyenunua Rais wetu mpendwa! Mnaenjoy infrastructure wakati mpaka kilembwe chako atakuja lipa madeni ya sasa.
  18. Mwana

    Balozi Batilda Buriani: Mtoto aliyeandika Barua ya kuacha Shule, ana akili sana

    Mi ni mwalimu by profession. Moja ya dalili ya intelligent person ni poor hand writing.
Back
Top Bottom