Search results

  1. N

    Mwalimu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC), adakwa na TAKUKURU Gesti akiwa na Mwanafunzi wake

    Kuna jamaa alikuaga chuo cha ufundi DSM (DIT) alikuwa akijulikana kama mzee wa mbunye ofisi yake ilikuwa ni kama danguro la kugegedea. Naye alihamia hiko chuo cha Arusha. Kwa haraka nilihisi ni yeye.
  2. N

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Huu ndio unafiki mkubwa walio nao wengi wa watu wa Tanzania
  3. N

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Huo ni ujinga na ujuha. Si lazima mwenye mamlaka kufanya kama shetani. Mbona Uhuru hakumfanyia Miguna au Raila kitu cha aina hiyo?
  4. N

    Je, ni sahihi mpwa kuwa paymaster general wa Serikali?

    Hiyo kisheria hairuhusiwi kwa kuwa ni vigumu kuzuia mgongano wa kimaslahi. Kama kuna utawala bora hiyo siyo nzuri.
  5. N

    Tundu Lissu: They call you 'Imperialists' yet you donate 50% to our budget.

    Huyo ana tabia ya kimalaya-malaya tu. Huwa anaandika kipashkuna sana. Hizo walahi zake ni upumbavu mtupu.
  6. N

    PAC: Tsh Bilioni 27.1 michango ya Wanachama NSSF hatari kupotea kutokana na miradi 7 ya Shirika hilo isiyo na tija

    Mimi sijui vipimo hivi vizuri. Tofauti ya Ekari moja na Hekta moja ni nini? Naomba mnijuze kunipa mwanga mimi na wengine kama mimi
  7. N

    Huu hapa Wasifu wa IGP wa Kenya Joseph Boinett

    Kenya wako siriazi na mambo ya nchi yao. TZ kila kitu ni siasa. Hawawezi kufika popte kwa mikakati ya hovyo kiasi hicho. Watu wanaochagua watendaji kwa kuangalia sifa kuu kama ni mwnachama mtiifu?!
  8. N

    Clouds 360: Askofu Lyimo alikosea kuuliza swali la kisiasa ( kuhusu demokrasia) kwenye mkutano wa kidini na Rais Magufuli

    Kwa taarifa yako kuna LYIMO Zanzibar kama ulikuwa hujui ujue sasa.
  9. N

    Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

    Pascal ni mnafiki na mchonganishi. Mtu objective calls spade a spade, siyo ki vile. mambo ya hila za kijingajinga ndiyo yaliyotufikisha hapa. Nchi tajiri lakini tu masikini. Werevu wapo lakini wanaongozwa na ujinga kwa nguvu ya siasa.
  10. N

    SPIKA: Tumesitisha kufanya kazi na CAG. Panga pangua Kamati za Bunge yaanza

    Kukosa BUSARA ni kitu kibaya sana. Mbona Raisi mstaafu Kikwete aliwahi kuitwa DHAIFU na hakukasirika wala kutoa povu bali alikaa kimya kama hakusikia? Mtu akikuita DHAIFU na wewe siyo dhaifu inauma kitu gani? Busara ya kawaida kabisa ni kupuuzilia mbali tu, sio kutoa POVU kiasi hiki.
  11. N

    SPIKA: Tumesitisha kufanya kazi na CAG. Panga pangua Kamati za Bunge yaanza

    TATIZO NI KUOGOPA KUFUKUZWA NDANI YA CHAMA KWA SABABU YA SIASA ZA MAJI TAKA. WANATAKIWA KUWA WA NDIYO ILI WABAKI NA TONGE LAO MDOMONI
  12. N

    IMEVUJA: Wabunge Wengi Wadai Bunge sio Dhaifu Bali Spika Ndiyo Yeye Dhaifu

    Ni kweli kabisa, wengi wanaochaguliwa sisiem huwa hawana sifa na kupelekea wengi kukosa sifa za kuwa mawaziri. Hali hii inasababisha kuwe tena na teuzi kwa wabunge ili wawe mawaziri. Udhaifu huu huongeza gharama za uendeshaji wa serikali, mbali na udhaifu wa mhimili wa bunge
  13. N

    Rushwa ya Ngono, UDSM: Baadhi ya Wahadhiri waanza kuhojiwa

    Pamoja na baadhi ya wanawake kijirahisi kwa kiasi kikubwa, wapo mabosi au wanaotumia nafasi zao vibaya. Mambo ya rushwa ya ngono ipo sana Chuo cha Ufundi Arusha. Rushwa ya ngono hapa si kwa wanafunzi tu bali inafanywa na mabosi kwa wafanyakaz wa jinsia ya kike, ili mambo yao yaende vizuri.
  14. N

    Tundu Lissu: Dotto Bulendu umenikosea, sijalilia fadhila bali nadai haki

    Uwezo wa mtu hauna uhusiano sana na kiwango cha kitaaluma. Uhuru Kenyatta wa Kenya ni Mr. lakini uwezo wake ni mara zaidi 100 ya Raisi wa Tanzania ambaye ni Dr. Uwezo wa Lisu ni wa akina Mr. Obama, rais mstaafu wa marekani, Mandela au Nyerere, binadamu kama hawa ni hazina ya Taifa na Dunia...
  15. N

    Military Politics: Is Magufuli in danger?

    Bunge lipi Mkuu?
  16. N

    Wanaokebehi juhudi za BoT kulinda hela zetu za kigeni wajifunze haya

    Baadhi ya mambo yanayofanyika yanaonesha kama ni dhahiri shahiri kwamba nchi haina dira wala sera. Tutakwenda kwa kubahatisha na kutesa wananchi mpaka kiama. Ndicho ninachowez kusema. Kwa upande mwingine wanaotumia jeshi la wananchi kama jeshi la polisi, haifahamiki nia yao ni nini.
  17. N

    Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

    The Governor is lawyer if not mistaken. With this professional background, it seems irrelevant as far as growth of country's economy is concerned
  18. N

    Vyama vya wafanyakazi ni makada wa CCM? Mbona mko kimya kwenye mafao mtu alipwe 25% baada ya miaka 60 ila mbunge analipwa 100%?

    Yusuph Singo naye aligombea ubunge Same akashindwa kura ya maoni, kwa sasa ni Mkurugenzi wa michezo, Wizara ya Michezo na Habari. Naye alikuwa Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi kinachoitwa THTU.
  19. N

    Nyumba aliyokuwa amehifadhiwa Mohammed Dewji baada ya kutekwa yabainika

    Nikisoma baadhi ya michango ya wachangiaji humu, nafurahi kuona kuwa kuna watu wenye ufahamu wa hali ya juu. Mambo mengine ni kama utani lakini yanafurahisha
Back
Top Bottom