Search results

  1. Mchuja Nafaka G

    Ng'ombe wa masikini hazai, AU tujaribu fikra Ngumu?

    Rafiki yangu tumekutana wilaya moja nchini takribani miaka 10 iliyopita tupo pamoja, miaka ya mwanzoni ya urafiki wetu alikuwa kisu kwa wanawake, sasa ni takribani miaka miwili amekuwa mpole na aliweka lengo lake wazi kutaka kuoa baada ya ushauri mwingi sana kutoka kwa marafiki mbalimbali...
  2. Mchuja Nafaka G

    Chaguzi mkuu 2020 ufutwe ili kupunguza Gharama?

    Nchi yetu ina zaidi ya watu milioni 49 kadili ya takwimu za mwaka 2013, waliokuwa na muda/muamko wa kujiandikisha kupiga kura walikuwa watu milioni 23,161,440. Hatimaye waliopiga kura walikuwa watu 15,589,639. Taarifa zisizo ramsi, watu wamemkubali JPM hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kushinda...
  3. Mchuja Nafaka G

    Tumefanya kazi wee lakini wapi

    Wazee wetu wamepiga sana kazi, kulima mashamba makubwa, kupasua mbao kwa msumeno, kutembea umbali mrefu kusaka huduma mbalimbali. Na hili jumlisha kula vyakula vya asili ilipelekea sana kugongewa mke ni siri ya ndani. Saizi vijana wanashinda mjini mshahara 450,000/- mchana unakula chips...
  4. Mchuja Nafaka G

    Kataa udhalilishaji, kikatae chama cha nape mnauye

    Nape Mnauye ni mtu mbaya sana maneno yake jukwaani yanalenga kuudhi, kudhalilisha utu wa binadamu lakini kupingana na mamlaka ya Mungu kwa kuita binadamu walio hai "marehemu". Sote tunaoamini katika MUNGU na upendo ushindani wa haki basi tukipinge chama cha Nape Mnauye kupitia KURA ZETU.
  5. Mchuja Nafaka G

    Weka tiki kiboksi jina la lowasa tar.25.oktoba

    Weka alama ya tiki au vema katika kiboksi jina la LOWASSA ili kukomesha ubabe wa chama cha mapinduzi Tanzania. Uliona ubabe wao "sheria ya mitandao" sasa akipita mkariri vifungu Magufuli mwanawane watssap, facebook, jamiiforum atavunja kwa tinga tinga. Si mnajua anaweza kubomoa nyumba ili...
  6. Mchuja Nafaka G

    Mabadiliko ya Dr.Magufuli ni Kiini Macho

    Hakuna mabadiliko yoyote katika jamii hasa nchi yakaongozwa na utashi wa mtu mmoja, hakuna mabadiliko ya kweli yatayoongozwa na chama kimoja. Mabadiliko ni jambo shirikishi, sio jambo la kusubiri kuona kama kweli anachoahidi kitakuwa kweli bali tulichoamua kama jamii kinaenda kutekelezwa...
  7. Mchuja Nafaka G

    Eeh Mungu nioteshe ndoto ndio nitabadilika, hakuna malaika

    Sehemu yake kubwa maisha ya ujana amehudumiwa na kanisa baada yeye mwenyewe kukubali wito wa Bwana kuhubiri injili, Kanisa katoliki limewekeza kwa kiasi kikubwa sana akisoma sekondari, seminari na hatimaye akapata upadre. Pamoja na ukweli kwamba alijiunga na kanisa katoliki kama mkreli na...
  8. Mchuja Nafaka G

    Eti uchumi wetu na shilingi vitakua?

    Kama mjuavyo tupo hapa tulipo kwa sababu waongozi wa serikali wameshindwa kusimamia nchi yetu ipasavyo. Hivi serikali IKIFUFUA kiwanda cha GENERAL TYRE na kahakisha kila mwenye gari hapa nchini anatumia tyres hizo na askari barabarani wanakagua kama unazitumia. Halafu WAFUFUE kiwanda cha...
  9. Mchuja Nafaka G

    Mzigo mzito mpe mswahili

    (G) Sheria ya Mafuta ya Petroli, SURA 392 89. Mheshimiwa Spika napendekeza kuongeza Tozo ya Mafuta ya Petroli kwa viwango vifuatavyo: a) Mafuta ya dizeli kutoka shilingi 50 kwa lita hadi shilingi 100 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la shilingi 50 kwa lita. b) Mafuta ya petroli kutoka shilingi 50...
  10. Mchuja Nafaka G

    Kuipenda afrika kulivyomponza sepp blatter

    Mwaka 1996, Shirikisho la Soka Afrika (Fifa), lilikuwa linaongozwa na raia wa England, Stanley Rous na mwaka huo England ndiyo ilitwaa ubingwa wa dunia. Zilikuwa ni fainali za Dunia jina, kwani wakati huo fainali hizo zilikuwa na timu nyingi za Ulaya na Amerika, huku mabara ya Afrika na Asia...
  11. Mchuja Nafaka G

    Jamani hiki kifungu kinahusu matibabu yetu nje ya nchi, jamani kinapita ndiyooooo!

    Faida ya mjinga ni kuumia, heri yao wenye fursa ya kusikiliza mijadala mbalimbali ya viongozi na wawakilishi kwani wanapata fursa ya kujua vyema nia na madhumuni makuu ya watawala. Matendo huongea kuliko maneno, lakini kuwasilikiliza ni jambo jema hasa katika chombo kitukufu cha uwakilishi wa...
  12. Mchuja Nafaka G

    Samwel Sitta kasababisha hasara kubwa kwa taifa kupitia sakata la Richmond?

    Katika kile kinachoelezwa na Edward Ngoyai Lowasa kuhusu kuhusika kwake sakata la RICHMOND na mchango wa viongozi wengine waandamizi serikalini kipindi hicho katika kulipatia ufumbuzi suala hilo nimepata kipande hichi. Hoja juu ya ufisadi wa Richmond ilirindima chini ya Samwel Sitta na baadae...
  13. Mchuja Nafaka G

    Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven kuachia madaraka Mei 2016

    Utawala wa Rais Yoeri Kaguta Museven ulioshuhudia marais wa Tanzania Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Benjamini William Mkapa na sasa Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kukabidhi lakini yeye angali yupo madarakani. Utawala wake utakoma ifikapo tarhe 12 Mei 2016 kulingana na taratibu walizojiwekea...
  14. Mchuja Nafaka G

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Maftah Mohamed anaishi hotelini tangu alipoteuliwa na Rais

    Kaimu Mwenyekiti wa PAC, Aden Rage alisema kuwa taarifa ya Mkoa wa Mara inaonyesha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Maftah Mohamed amekuwa akiishi hotelini tangu alipoteuliwa na Rais Jakaya Kikwete Februari mwaka huu. Mhasibu wa Mkoa wa Mara, Merthew Mkumba alisema mkuu huyo wa wilaya amekuwa...
  15. Mchuja Nafaka G

    Maagizo ya edward lowasa yana-hatarisha amani na utulivu monduli

    Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Aliyejiuzulu Edward Ngoyai Lowassa ametajwa kuhusika katika Mgogoro wa Uongozi Katika Kijiji cha Mgombani wilayani Monduli. Mwenyekiti wa eneo ambaye alishinda kwa hujuma kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi hakubaliki na Wananchi kwa madai sio chaguo lao...
  16. Mchuja Nafaka G

    Silaha tatu za wanasiasa

    Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika taifa, mji au hata dunia nzima. Sehemu muhimu ya siasa ni majadiliano kati ya watu mbalimbali wenye nguvu, mitazamo tofauti na mamlaka. Katika demokrasia kila mtu ana haki ya mawazo na kusikilizwa lakini na kiasi fulani cha nguvu inayotokana na uungwaji...
  17. Mchuja Nafaka G

    Naomba kuuliza, nataka kujua

    Swali 1: Hivi Outsourcing Company, hupewa leseni kwa sheria ipi ya nchi? Swali 2: Kwa nini kampuni hizi mfano ISON BPO hulipa mishahara kinyume na maagizo na maelekezo ya serikali? Mfano, mwaka 2013, serikali kupitia katibu wa Wizara ya Kazi/Ajira, ilitoa agizo na maelekezo kwa ISON BPO...
  18. Mchuja Nafaka G

    Kongo yaanza uchunguzi wa kaburi la umati la maluku

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeanza uchunguzi kuhusu kaburi la umati lililogunduliwa hivi karibuni nchini humo. Waziri wa Habari ambaye pia ni msemaji wa serikali ya DRC, Bwana Lambert Mende amesema kuwa, serikali imeanza uchunguzi mpana kuhusu kabuli la umati lililogunduliwa...
  19. Mchuja Nafaka G

    Mzaha wa viongozi wetu na hatari inayoweza kulikumba taifa letu

    Viongozi wa Nchi ula kiapo cha kutii, kuheshimu na kutunza KATIBA na sheria za nchi katika kuongoza nchi lakini katika utekelezaji wa hilo hakuna lolote wanalofanya. Si hivyo tu bali kuchukua maamuzi mazito ya ghafla bila kushirikisha wananchi hasa waathirika wa maamuzi hayo nakupelekea migomo...
  20. Mchuja Nafaka G

    Wanasiasa wetu na vitendo dhidi ya maneno

    Hotuba na Matamko ya viongozi wa kisiasa hayana mashiko wala kuwakilisha WANANCHI ambao daima ujipiga kifua kudai wanawawakilisha au kutenda kwa ajili yao. Katika hilo haijalishi ni mwanasiasa kutoka chama tawala au chama cha upinzani, wote wanalingana katika hilo na mara nyingi upelekea...
Back
Top Bottom