Search results

  1. H

    Mbatia liangalie hili suala kwa umakini

    Wamewekeza wapi rasilimali watu na fedha katika kuhamasisha kujiandikisha, Elimu ya uraia, kuwajenga wananchi kisaikolojia. Mbatia na timu yake wamefanya hayo wapi katika miaka 5 hii. Katika umoja (Partnership). Mwenye Mtaji ndio mwenye Nguvu. Na kuna ambaye atafaidi lakini si kumunea wivu...
  2. H

    Mbatia liangalie hili suala kwa umakini

    Wamewekeza wapi rasilimali watu na fedha katika kuhamasisha kujiandikisha, Elimu ya uraia, kuwajenga wananchi kisaikolojia. Mbatia na timu yake wamefanya hayo wapi katika miaka 5 hii. Katika umoja (Partnership). Mwenye Mtaji ndio mwenye Nguvu. Na kuna ambaye atafaidi lakini si kumunea wivu...
  3. H

    Mbatia: CHADEMA wakivimba kichwa kuwa UKAWA ni CHADEMA watatandikwa vibaya na CCM

    Kila jambo lina changamoto.Kabla hujazungumza tafakari.Nina changangia kama mtu niliyejiandikisha. Nilitamani kuona CUF, NCCR wakifanya mikakati ya kampeni maeneo tofauti. Haidhuru CUF wameanza kidogo,lakini timu ya mtu mmoja haitoshi kushambulia. Nccr wamelala.Hata katika majimbo watakayo pewa...
  4. H

    Mobisol Solar Company

    Wapo njro arusha.wamekuwa kwa kasi. wanakopesha solar zao makato ktk mshahara/ dhamana
  5. H

    Nimechuma mali na mme wangu, lakini sasa anachepuka hakumbuki hata familia yake

    Pole sana dada acha kuwaza yote ni mapito tu piga goti muombe mungu atambadilisha mumeo.
  6. H

    Dr. Asha Rose Migiro aagwa rasmi Umoja wa Mataifa (UN)

    wewe umetuma nini maana naona unaanza kumpigia debe
  7. H

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    hata mimi ni muislamu lakin napinga huo ujinga wa kususia sensa!tuanze kutafakari waislamu!okay tukwa wengi then itatusaidia nini!?
  8. H

    Gazeti la Sauti Huru: CHADEMA Asili mbioni kusajiliwa!

    kwishney magamba SIIAMINI CCM NG'O!!!!HATA KWA MUNGU NIKIULIZWA NTARUDIA SIIAMINI ccm ng'o!!!!!
  9. H

    Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

    SIIAMINI CCM NG'O!!!!HATA KWA MUNGU NIKIULIZWA NTARUDIA SIIAMINI ccm ng'o!!!!!
  10. H

    Hukumu ya kesi ya ubunge Igunga bado?

    ibunga ni wapi huko tena
  11. H

    Matokeo ya kura za Mwanasiasa bora kijana 2012"

    Weka wazi vigezo vilivyotumika!na je unazungumzia ubora au umaarufu!!!????
  12. H

    Hatutarudi nyuma – Sheikh Farid

    kila la heri wakuu
  13. H

    Ubabe wa CCM kwenye chaguzi ndogo

    Ccm ikishinda arumeru tutaichoma nyumba ya kina summary!
  14. H

    ADC yapata usajili wa muda.

    Fuatilia ndo ulete habari nzima!!
  15. H

    Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

    vina uhusiano gani na chadema
  16. H

    Miaka 15 ya kifo cha Horace Kolimba

    na Mungu kuonyesha ccm waliua kupitia Arumeru watu wa CDM watashinda
  17. H

    Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

    tuueleweje sasa!!!
  18. H

    Waliompora Malima Morogoro wanaswa, vitu vyapatikana.....

    wanadanganya wanadhani sis watoto wadogo!fuatilia maelezo kuhusiana na SMG!
Back
Top Bottom