Search results

  1. palalisote

    UCF/UKAWA wanajiandaa kuvunja sheria ya uchaguzi zanzibar.

    Mbona kawaida tu . "Tallying centers" zipo nchi zote duniani.
  2. palalisote

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    "..Nilikua nashindia mihogo... hata nyumba nayoishi nimejengewa na Mwenyekiti.." Calculation, 1. Mihogo 250/= × 2 x 3 = 1500/= per day, (tamka "buku jero") 2. 1500/= × 365 days = 547,500/= a year. TOTAL 547,500/= Press Conference, 1. TV (live coverage) 25 mil × 3hrs × 3Chanels = 225 mil...
  3. palalisote

    Mapokezi ya Lowassa na UKAWA Sumbawanga - Tarehe 02 Septemba, 2015

    wanachi wakimsubiri Lowassa airport sumbawanga
  4. palalisote

    Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Intelijensia ya awali Taarifa iliyo rasmi kutoka kwenye mkakati wa CCM unaoratibiwa na vigogo kadhaa wa CCM wanaoongozwa na Didas Masaburi, Wilbrod Slaa, Harison Mwakyembe unaandaa maandamano ambayo polisi tayari wameshatoa kibali katika jiji la Dar Es Salaam. Kikao kilichokaa jana usiku...
  5. palalisote

    Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Nadhani ni zile taarifa kuwa CCM wameandaa vijana watavishwa sarre za chadema waandamane kumuunga mkono slaa. Vipi polisi wameingilia kati?
  6. palalisote

    Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

    bado sijaiweka youtube baadaye kidogo
  7. palalisote

    Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

    ni hizo sahani wamepachika? angalia hapo mezi kila kitu kipo katika utatu, viti tatu, sahani 3, glass za jusi 3, umma na vijiko vitatu viatu . hivyo navyo vimetengenezwa?
  8. palalisote

    Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Jongea azam two. link hapo chini AZAM Media Flash Page
  9. palalisote

    Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

    Moderator: Picha hizi chini si za leo, zinatumika kufanya propaganda. Dr. Slaa yupo nchini na JamiiForums imewasiliana naye na kuthibitisha hajaondoka nchini ====== Kama ailivyokuwa kwa mwenzake Pof. Lipumba mara baada ya kufanya press conference alikwea pipa. Vivyo hivyo Dr. Slaa naye...
  10. palalisote

    Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Masaa machache yamebakia ili (UKAWA) Waongee na wanahabari juu ya Tuhuma dhidi yao zilizotolewa na Dr. Slaa. ============ James Mbatia: Mjue kwamba, kwenye UKAWA, Kahangwa alikuwa mgombea ambae ametia nia kwa NCCR mageuzi, Lipumba likuwa ametia nia kwa chama chake cha wananchi CUF na CHADEMA...
  11. palalisote

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    minutes na salary slip jumlisha bank transfer statements mbona zipo
  12. palalisote

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Msumari wa Tundu Lissu wa moto. Story ya Lissu ndiyo itaandikwa na magazeti mengi kesho.
  13. palalisote

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    mkuu tunapata pressure kwa wale wanaotuzunguka. Hata Nyerere alishaliongelea hili.
  14. palalisote

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    story tu. wenzie wana minutes za vikao zenye ushahidi.
Back
Top Bottom