Search results

  1. K

    Trasnlator, interpretor for french language

    Mimi ni mwalimu wa lugha ya kifaransa na pia translator / interpretor wa frech language to english and swahili natafutakazi at ya part time please assist dear friends jp
  2. K

    Madawa ya kulevya:mwalimu akamatwa na bangi

    Wana JF. Katika kile ambacho ninaamini ni maisha magumu kwa kila mtanzania, waalimu ambao ni walezi na waelimishaji wa watoto wa watanzania sasa wamekengeuka. MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Mukubu, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Silidion Kaiza (43), anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
  3. K

    Spika Anna Makinda:tunaelekea katika machafuko

    Katika kile kinachoonekana kuwa hofu ya kutokea machafuko ktk nchi ya tanzania, spika wa bunge la Tanzania Anna Makinda leo ktk salamu zake za Serikali kwa waombolezaji ktk mazishi ya mmoja wa watumishi wa muda mrefu katk serikali hii marehemu Mzee Nyega huko Mbezi Mshikamano(kwa Yusuf) ambae...
  4. K

    CHADEMA yampuuza Nape

    Wana JF. Baada ya Katibu wa halmashauri (NEC) ya CCM Nape Nnauye kupatwa na malaria ya kupanda kichwani, CHADEMA kupitia kwa mkurugenzi wa mawasiliano na Habari Mh.John Mnyika wamesaidia kumpa tiba. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimempuuza Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM...
  5. K

    Magufuli, komesha rushwa hii kituo cha daladala Mbezi Mwisho

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa tabia ya rushwa,watumishi wa Tanroad kituo cha daladala mbezi mwisho na washirika wao polisi wa usalama barabarani wanajineemesha kwa rushwa,kutoka kwa madereva wa magari ya kubeba abiria yasiyo rasmi(Noah) pamoja na bodaboda. Tembelea kituo hiki...
  6. K

    Mahakama kikwazo vita ya madawa ya kulevya?

    Katika kile kinachoitwa mapambano dhidi ya wafanya biashara mapapa wa madawa ya kulevya,juhudi hizi zinaelekea kugonga ukuta.Habari za kuaminika toka vyanzo mbalimbali vinadokeza kuwa mahakama zimekuwa zikiwaachia watuhumiwa.Gazeti litolewalo kila wiki la JAMHURI limetoa orodha ndefu ya wafanya...
Back
Top Bottom