Search results

  1. terabojo

    Airtel nao wafanya yao tena

    Mtandao wao unafikia maeneo yasiyokuwa na mawasiliano kama kata ya Nyanzwa iringa ambako vitunguu vinalimwa kwa wingi.
  2. terabojo

    Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    Wana JF, kwa wewe umbae unaweza kupenyeza ushauri kwa mamlaka husika, washauri wafanye yafuatayo: Waongeze mashine ktk kila kituo japo zwe 5 na wahudumu watano. Wawasimamie na kuwaongoza kwa karibu zaidi wale makarani. Maofisa watendajimna weneyeviti wawe karibu na rai ktk kila kituo mtaani...
  3. terabojo

    Vijana wa shule za msingi na uchumba, Nyanzwa

    Wana JF, kuanzia Februari had June nililima vitunguu na kuvuna katikati ya mwezi uliopita. Nililima katika kijiji cha Nyanzwa ambacho ni kilometa 58 kutoka Ruaha Mbuyuni ukielekea Iringa. Kule nilisimuliwa mambo mengi na moja ambalo lilinistua ni kuambiwa kwamba watoto wa kike ambao wanasoma...
  4. terabojo

    Vijana wa shule za msingi na uchumba, Nyanzwa

    Wana JF, Kuanzia Februari had June nililima vitunguu na kuvuna katikati ya mwezi uliopita. Nililima katika kijiji cha Nyanzwa ambacho ni kilometa 58 kutoka Ruaha Mbuyuni ukielekea Iringa. Kule nilisimuliwa mambo mengi na moja ambalo lilinishtua ni kuambiwa kwamba watoto wa kike ambao...
  5. terabojo

    Ekari 50 zinauzwa huku kijiji cha Kivinja B, unaingilia jaribu mpakani

    Wana JF, Kuna ekari 50 za kijiji cha Kivinja B zinauzwa zote kwa Shs. 20,000,000/= tu. Anayetaka awasiliane nami: terabojo@gmail.com Ukiafikiana na uongozi wa kijiji utalipa kupitia katknakaunta ya kijiji katika tawi lolote la NMB. Mwambie na mwingine.
  6. terabojo

    Tiba ya kisukari

    Wana Jamiiforum, kama wiki mbili zilizopita nilibahatika kusoma habari za padri wa kanisa katoliki huko Bukoba. Kifupi alipelekwa Muhimbili na akalazwa ICU kwa ugonjwa wa kisukati na figo. Wakati anatayarishwa kupelekwa India akapata habari za kuwepo tabibu wa kisuka kwa jina la Dr John Kidua...
  7. terabojo

    Eneo la heka 10 mita 50 kutoka chuo cha S.T. Augustine Vikindu Linauzwa

    Wanaq JF ninauza plot za ukubwa wa 20X50 ktk kijiji cha Kivinja B/Mkenda - ni 9KM kutoka Jaribu mpakani. Ukilipa unatambulishwa kwa serikali ya kijiji. Bei a plain 1.5 million. Karibu 0787488922
  8. terabojo

    Kwa wale wasiogopa majini angalieni hizi picha za majini

    MzizMkavu: nilisoma namba ya shekhe wako mara siioni tena! Iweke tena mtandaoni jamani.
  9. terabojo

    Kwa wale wasiogopa majini angalieni hizi picha za majini

    Duh! MziziMkavu unatisha kwa elimu dunia.
  10. terabojo

    Baada ya Bibi bomba Kuvua taji

    amsaidie babake kuuza watanzania ktk ukahaba uarabuni - serikali ilimpa kibali:angry:
  11. terabojo

    Tunguri na majini yake vinauzwa bei poa

    bei gani jamani na mie nijaribu!!!
  12. terabojo

    Wanaoapply Customer Care position kuweni makini na hii no

    Kanyabwoya Hiyo. Dawa usitume pesa hata chapa. Muajiri hasa atakuita ktk interview ofisini kwake tu. Ndo taabu ya technology, si kosa la zoom. Kuweni makini
  13. terabojo

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano 1 Oktoba 2014 - Upigaji Kura Katiba Inayopendekezwa

    Two thirds Zanzibar haipatikani. So no katiba. wacha jioni niende mji mkonge nikapate mix na juice. Ndio dinner yetu huku kwetu. wapi utapata pesa ya msosi kama sio fisadi. Allah atatufanyia wepesi Inshaalah.:angry:
  14. terabojo

    Majina kura HAPANA hadharani warudi Zenj, TEC/Mashekh washtukia Sitta/serikali

    Mantiki ya kupiga kura ni kuwezesha kufahamu wangapi wanaunga mkono na wangapi hawaungi mkono hiyo rassimu. . Wengine watasema ndio wengine hapana. Sasa kuwahoji inahusu nini au ndo lugha ya kisasa ya "kulazimisha" ili wabadili msimamo. SITTA umechelewa. Uliambiwa ukakaidi. Utawambia nini...
Back
Top Bottom