Search results

  1. Msitari wa pambizo

    Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Nani aliwambia huu upuuzi. Ndio maana ndoa za siku hizi zinawashinda.
  2. Msitari wa pambizo

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Yani wapemba walivyojaa mbagala. Niliwahi kusema hapa wazanzibari ni wabaguzi kuliko jamii yoyote Tanzania hii
  3. Msitari wa pambizo

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Vikindu

    Futi? Huu ujinga mmepanga kuwadanganya wasioenda shule ili figure ionekane kubwa. Madalali wa aina hii wapo wengi sana mitaa ya huko. Huwez kukut maeneo ya Goba. Bweni au madale anata gaza kiwanja kwa futi
  4. Msitari wa pambizo

    Star Times wanatukera wateja wao tunaitumia Antena

    Sema kutumia Star times inabidi irasimishwe kama indicator ya umaskini
  5. Msitari wa pambizo

    Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kuna jamaa yangu mwaka jana alipata kazi kampuni kubwa sana alinipa story yake nilishangaa sana. Ananambia katika maisha yake mama yake alimuaminisha kwamba baba yake ni mbaya mpaka ikafikia hatua baba akawa anakosa ujasiri wa kumshauri au kumwambia chochote jamaa. Lkn nyuma ya pazia kumbe...
  6. Msitari wa pambizo

    Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Nitamuhudumia na kujitahidi kadri niwezavyo nimuwezeshe ki elimu na ki uchumi. Aidha kwa yeye kutokujua au kwa kujua. Akikua badaye na kuona mimi sifai wala I don't care as long as nimetimiza wajibu wangu hata nikirudi kwa Mungu narudi nikiwa nimenawa. Bahati nzuri nowadays tunawasaidia watoto...
  7. Msitari wa pambizo

    Nahitaji kuwekeza Tsh. Milioni 170

    Kuna mtu anapigwa hapa. Kuwa makini kaka mwenye 170m
  8. Msitari wa pambizo

    INAUZWA Pikipiki boxer BM 125 inauzwa

    2.4? Sijui huwa mnadhani hapa mjini wote ni wakuja
  9. Msitari wa pambizo

    Nimelia sana usiku wa leo, nipo katika kipindi kigumu sana cha maisha

    Mtoto wa Mwigulu yupo anatembea na baba yake jimboni anasema mama anaupiga mwingi. Hii nchi siku mkijua mifumo ndo tatizo mtaanza kupiga kura kuwakataa hawa wazandiki. Dogo bado uko chuo umekata tamaa kwa sababu unaona kabisa huwez kupata ajira kwa sababu ya ajira za kubebana. Pole
  10. Msitari wa pambizo

    Haijapata kutokea ila imetokea sasa ndio maana tunawasifu na kuwaunga mkono viongozi wetu

    Msiibe kura sasa 2025 ili wananchi wawaoneshe jinsi wao wanajua maendeleo sio nyie keybod worriers. Kitu usichokijua ni kuwa msipoiba kura hata huyo mama yenu anarudi Kizimkazi
  11. Msitari wa pambizo

    Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

    Siku moja nilipita lile soko la Tegeta aisee ile ni kama Kigoma imehamia pale. Ni waha watupu. Yani kama wamelaikana vile kha
  12. Msitari wa pambizo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Defence ya Chelsea ni mbovu kuliko geti la makuti. Mimi sijawahi kumuamini Disasi. Beki mzito kama kafungwa mawe, hawez kutoa majukumu kwa beki zake. Hana control ya mpira. Mbaya zaidi hizi beki yaani Disasi, Badiashile na ndugu yao Chalobah sio wazuri kwenye kupiga vichwa. Yani kona 12 hakuna...
  13. Msitari wa pambizo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii timu tangu alipostafu Web na yenyewe ikaisha. Mlizoea mbeleko daiz ndo inanyesha tunaona panapovuja sasa
  14. Msitari wa pambizo

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Kama ni muumini wa usawa na haki kwa nini ufurahie mtu ambaye hajavubja sheria yoyote kubambikiwa kesi?
  15. Msitari wa pambizo

    Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

    Msivyompenda mngeshamkanda lkn kila mkuliamsha anawabonda na hamna cha kumfanya
  16. Msitari wa pambizo

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Usichopenda kujua ni kwamba hao ji wavaa cobaz wenzako. Sisi tunawatetea tu kama binadamu wenzetu na dini yetu inatufundisha kupenda kila mtu bila kujali imani yake
  17. Msitari wa pambizo

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Ritz Njoo uwaone wenzio. Hii dini yenu inakuja na mapepo ndani yake basi hata mwenye akili naye zinaruka ghafla. Huko Masjid huwa mnakaririshwa vitu gani
  18. Msitari wa pambizo

    Netanyahu kufanyiwa upasuaji wa ngiri,huku usajili wa askari kupigana Gaza ukianza kuwa mshike mshike.

    Ona sasa msomi wa madrasa. Mimi nimeandika Mumnyonge wewe umeandika Mumunyonge. Hata kusoma na kunakili kilichoandikwa nacho ni kazi. Soma taratibu bila kulia alaf uandike tena nilichoandika mimi
  19. Msitari wa pambizo

    Netanyahu kufanyiwa upasuaji wa ngiri,huku usajili wa askari kupigana Gaza ukianza kuwa mshike mshike.

    Sasa mliishia wapi ndugu mbona kwenye seminary zenu nusu ziro nusu zilizobaki div four. Msiwe mnatumia neno Seminary basi
Back
Top Bottom