Search results

  1. kilindu

    Mpenzi wangu nimpendae ni "lesbian". Je, nimuache?

    Dude huitaji ushauri katika hilo.... upo kwenye mahusiano na mwanaume mwenzio.
  2. kilindu

    Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

    Nasikitika.
  3. kilindu

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Siamini inawezekana hauna vyote hivyo au unavyo lakini unachagua kazi. You have everything and yet you have nothing. Unaweza ukawa hata private consultant kijana usisubiri Kukaa "behind the table". Umepewa elimu jiajiri. Nenda kawe hata Bank Teller. Au njo nikuajiri.......
  4. kilindu

    Android & iPhone Developers

    I think you need programmers and/or software engeneers. Re-type you heading and post it again. Android and iOS are written by programming languages. And you will receive much more replies if you post your Ad focusing on programmers....
  5. kilindu

    Latest Jobs in Tanzania today

    I think the meaning of best jobs is distorted. Jaribu kutuma relevant and reliable info man.....
  6. kilindu

    Kama unatafuta kazi suluhisho lako lipo hapa-ba recruitment agency

    Kazi nitafute mimi, kulipia nilipie. Hivi mpo serious ninyi? Kwanza hamjatoa mawasiliano yoyoye mnajua kuwa watu wapo desperate na kupata kazi mntaka kuwa exploit kutumia hiyo weekness, Mimi sijawahi sikia, Kuna recruitment agency kama Delloite, Radar hawacharge wala nini. Hebu kama mpo makini...
Back
Top Bottom