Search results

  1. SHILINDE

    FUNDI MUASHI na LUGHA YA NYUMBANI

    Fundi muashi atashangaza sana watu pale ambapo atatumia lugha ambayo atashindwa kuelewana na vibarua na wafanyakazi wake katika ujenzi. lakini ufanisi wa kazi ambao unategemea sana mawasiliano murua utakamilika pale fundi huyu atakapokuwa anatumia lugha ya nyumbani, ambayo vibarua watamuelewa...
  2. SHILINDE

    Fundi muashi huyu!

    Mara nyingi zikitangazwa kazi waajiri wanapenda sana kupata watu wenye uzoefu, ndo maana matangazo mengi yanaelekeza mwombaji awe na uzowefu wa muda fulani. Hivo hivo mjenzi yoyote pia lazima atafute fundi mwenye uzowefu maana mzoefu lazima atakuwa amewiva katika fani na anazijua mbinu na...
  3. SHILINDE

    Fundi muashi anapobadilisha mawe

    asigwa atujibu maana ndio quote yake
  4. SHILINDE

    Fundi muashi anapobadilisha mawe

    LAKINI 'MKUBWA HAKOSEI'
  5. SHILINDE

    Fundi muashi anapobadilisha mawe

    Sioni kama ni tatizo pale Fundi Muashi anapoamua kutumia jiwe kujengea ukuta ambalo kwenye msingi aliona halifai, kwa manguli wa wajenzi wataungana na mie katika hili. jiwe lilionekana kutofaa kwenye msingi linaweza kufaa kwenye ukuta, sasa utashangaza watu wakianza kumtangazia fundi huyu...
  6. SHILINDE

    TANZIA: Peter Kalihose mwanaccm tawi la mitandaoni amefariki dunia

    RIP PETER rafiki na College Mate hata kama tulikuwa tunashindana/kupisha kwa hoja, lakini safari yako umeimaliza na tutakukumbuka sana. waafrika tuna utamatuni wa kuheshimu waliomaliza safari yao, kwa wanaoendelea kukubeza ni utovu wa utamaduni wetu na siasa za upofu.
  7. SHILINDE

    NANI KATULOGA?

    Fundi Muashi yupo juu ya ukuta hata ANAMU hajafika, kasimama na ngazi, kashika mkono bawa na beseni la tope limeshakwisha mota. Vibarua na wasaidizi wa fundi wapo chini wamekaa wanabishana na kukosoa tu.... "fundi kapindisha ukuta...." .....hapanaaa amegeuza tofali.." hapana amezidisha mota...!"...
  8. SHILINDE

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    URAIS WA NINI KWANZA MTOA HOJA ATUWEKE WAZI maana kuna rais wa Manzese, kuna Rais wa MCB, kuna Rais kila kona,,,. ingekuwa 2020 imefika nisingeuliza hili swali.
  9. SHILINDE

    Rais Magufuli akipata Katiba Mpya tutafika mbali

    Tukiacha ushabiki, kila mtu hawezi kubisha kwamba kasi ya usimamizi na utekelezaji wa shughuli na sera anazofanya Mh. JPM kwa sasa, na akipata Katiba Mpya tena ile ya Warioba akaisamia haswaaa, kwa kweli tutafika mbali, sifa kuu tatu za JPM zinazonifanya niseme haya ni pamoja na 1. Kuweza...
  10. SHILINDE

    Uchaguzi wa Malawi uwe fundisho kwa watanzania, 2015

    SOMO: katika chaguzi Ukiona mgombea anaetetea nafasi yake analalamika kwamba wale wagombea wapya wanamzidi kete. UJUE TUME YA UCHAGUZI NI HURU NA INATENDA HAKI. Pole mama Banda a.k.a JB huo ni Mtazamo wangu!
  11. SHILINDE

    Hili la kupulizia kinga ya Dengue Mabasi ya mikoani ni siasa pofu!

    Taifa lolote duniani linapopatwa na majanga na dharula serikali yake inapaswa kusimamia kifua mbele. Tanzania tumepatwa na ugonjwa wa Dengue ambapo serikali katika kutimiza jukumu lake la kukinga na kuzuia maambukizi yasiwapate watanzania ikabidi kuamuru mabasi yote yanayoenda mikoani kupuliziwa...
  12. SHILINDE

    Msaada wa mawazo kuhusu Mirathi kwa Mjane

    Pole kwa Matatizo. pamoja na majibu mazuri uliyopata tembelea blogu hii Hussein Sengu! | HAKI ZA WANAWAKE NA WATOTO NI HAKI ZA BINADAMU katika blogu hiyo masuala ya mirathi na utaratibu wake kisheria yamechambuliwa. pia fika katika vituo vya msaada wa kisheria vya; 1. Kituo cha sheria na haki za...
  13. SHILINDE

    Kizungumkuti Dowans

    kwa nini tunarumbana, si tusubiri appeal ya LHRC.
  14. SHILINDE

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Viti maalumu kwa tafsiri rahisi kabisa ni mpango mahsudi ambao unalenga kuwajengea uwezo kundi maalumu katika kushika nafasi mbalimbali katika ngazi ya maamuzi na uongozi. mpango huo unalenga sana katika kupunguza na kutokomeza dhana za ukandamizaji wa kijinsia na makundi maalumu kwa kuwapa...
Back
Top Bottom