Usimumshe asiyelala.
You think you are important hadi unajidillusion kwamba Waziri wa Foreign Affairs wa Jamhuri ya Tanganyika atakuja kubishana na wewe humu 😂
Sasa tajiriiiii roho haikuchomi vipi wakati asubuhi mchana jioni TikTok we unamuongelea mtu mmoja tena kimbea na kipashkuna. Mi...
Bwana TikTok umekaa ukajiaminisha kabisa mimi Waziri wa mambo ya nje. 😂😂. Kweli akili yako fupi, hata nyakati husomi.
Halafu you don't think it's homosekshuo behavior kuongelea mwanaume mwenzako anamkaza nani, chalii jifunze etiquette kidogo 😭
You are obsessed na JM. Pole boss, roho...
Labda kwa nini usianze na kututajia MAKOSA yake haswa. Maana naona kama hisia tu zinakuongoza.
Kila siku mnafungua thread za Makamba, kumbe ndio mnampaisha vilaza nyie.
Kuongeza grid Kigoma na Migodini ni kuharibu?
Kuunganisha wateja laki tano kwa mwaka ni kuharibu?
TANESCO kutengeneza faida mwaka jana ni kuharibu.
Mshirika wenu kwa mara Ya kwanza at least unaendeshwa kisasa nyie mmeleta wanajeshi 🤣🤣
Hii ni hadithi ya kutunga, ikiwa na lengo maalumu la kuwachafua watajwa hapo juu kwa faida ya mchafuaji,.
Hujaweka kielelezo hata kimoja cha au chanzo cha kuaminika cha habari zako.
Siku moja watu watasue Jamii Forum kama platform for allowing idiots to post this nonsense. 😂😂. Liable
Kwa utashi huu wa kufikiria Tim Cook CEO wa Apple inabidi awe fundi simu kwanza.
Amueni kama taifa, Tanesco liendeshwe kibiashara, then u need hao bankers etc. Kama Tanesco iendeshwe kama SUKITA then weka hao maInjinia wako.
Thinking ya Mama Abdul makes sense. Make Tanesco Profesional...
Nadhani anafunguliwa uzi kwa sababu somewhat watu wanamuassociate na hiyo power. Na aliingia tano bora tayari.
Pia Kampeni za CCM za mikakati na mbinu pia Makamba anafanya sana ambayo inamuongezea maadui.
Hakuna bad publicity
Nimeziona. Kwahivyo utendaji wa Maharage Tanesco despite making the company profitable, vastly improving customer care, in short modernizing Tanesco to become corporate in a sense of can compete in the world unaishia kuwa judged na nguzo moja.
Halafu nguzo za zege ni zama za jiwe kumbuka ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.